FID Q: PROFESA WA HIP HOP ALIYEKUMBUKWA KWA TUZO ZA KILI

Makala: Andrew Carlos NDANI ya gemu la Hip Hop Bongo, ni vichwa vichache sana ambavyo vimebaki tangu miaka ya 90 hadi sasa, miongoni mwao ni mkali kutoka Jiji la Mwanza ambaye alizaliwa Agosti 13, 1982, Farid Kubanda ’Ngosha The Swagga Don’ au Fid Q. Fid Q ’Ngosha The Swagga Don’ wakati akihojiwa na Global TV Online. Ni fundi aliyeitendea haki midundo ya ngoma kali kama Mwanza Mwanza, Proffesional,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLFID Q NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE, AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA KILI NA MUZIKI WA HIP HOP
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Fid Q aja na ‘documentary’ ya Hip Hop
MSANII wa muziki wa Hip Hop kutoka Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema anatarajia kuachia ‘documentary’ itakayoelezea historia ya Hip hop ya Tanzania. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Fid Q...
11 years ago
Bongo511 Aug
Fid Q na P-Funk kuachia ‘Bongo Hip Hop’ Jumatano, August 13
11 years ago
GPLUZINDUZI VIDEO YA ‘HIP HOP DARASA’ YA FID Q WAVUTIA MASHABIKI
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Domokaya afunguka kuhusu tuzo za mziki kwa wasanii wa Hip hop Tanzania!
10 years ago
Bongo530 Sep
Fid Q asema ataendelea kuimba live band ili kuboresha show za Hip Hop
10 years ago
Vijimambo
SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP


11 years ago
Mwananchi01 Mar
Banza Stone: Alianza muziki kwa kuwa mwana Hip Hop 1989