SARKODIE MFALME WA HIP HOP AFRIKA

Mkali wa Hip Hop Ghana, Sarkodie. Boniphace Ngumije UWEZO ndiyo kigezo kikubwa kilichompa heshima Sarkodie kwenye medani ya muziki wa Hip Hop Afrika ambapo tofauti na kujinyakulia tuzo 42 na kuingia katika kinyang’anyiro mara 52, amekuwa akiandikwa katika chati mbalimbali za burudani zikiwemo MTV, The Guardian, BET na E-TV ya Ghana kuwa miongoni mwa wasanii watano wakali wenye heshima ya muda wote barani Afrika. Katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP


10 years ago
GPL
MWANA HIP HOP FLABBA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU NA MPENZI WAKE AFRIKA KUSINI
11 years ago
Michuzi
10 years ago
AllAfrica.Com29 Oct
Hip Hop Star Now MP in Tanzania
The Star
AllAfrica.com
Tanzanian Hip Hop singer Joseph Haule popularly known as Professor Jay has won a parliamentary seat in the Tanzanian elections. The star clinched the Mikumi Constituency seat on an Opposition Chadema (Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo) ticket.
Professor Jay wins parliamentary seatThe Star
all 3
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Vichwa vinavyoibeba Hip Hop
MUZIKI wa Tanzania hususan wa kizazi kipya ‘Bongofleva’ unazidi kupasua anga kila kukicha kutokana na sababu kadha wa kadha, hivyo kukubalika kwa wengi. Awali wakati vijana wa miaka 90 walipoanza...
10 years ago
Mtanzania21 Oct
Chemical: Hip hop si ya wanaume tu
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa hip hop nchini, Claudia Lubao ‘Chemical’, amewataka wasanii wa kike wafanye vitu vinavyoonekana vigumu kufanywa na wanawake ili wadhihirishie umma sera ya haki sawa kwa wote.
Chemical alisema mabinti wengi wanahofu ya kufanya aina hiyo ya muziki kwa sababu inaeleweka kuwa muziki ni kwa ajili ya wanaume pekee kitu ambacho si sahihi.
“Kikubwa ni kuthubutu na kufanya kile tunachokipenda bila kujali kitapokelewa kwa mtazamo gani kama mimi nafurahi kuwa...
10 years ago
Bongo522 Jan
Iggy Azalea: Nimeibadilisha Hip Hop
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Fid Q aja na ‘documentary’ ya Hip Hop
MSANII wa muziki wa Hip Hop kutoka Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema anatarajia kuachia ‘documentary’ itakayoelezea historia ya Hip hop ya Tanzania. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Fid Q...
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Octopizzo nyota wa Hip Hop Kenya