Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANA HIP HOP FLABBA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU NA MPENZI WAKE AFRIKA KUSINI

Nkululeko Habedi maarufu kwa jina la Flabba enzi za uhai wake. Flabba (wa kwanza kushoto waliochuchumaa ) akiwa na wanamuziki wenzake wa Skwatta Kamp. MWANA Hip hop wa Afrika Kusini, Nkululeko Habedi maarufu kwa jina la Flabba (38) ameuawa kwa kuchomwa kisu na mtu anayedaiwa kuwa mpenzi wake akiwa nyumbani kwake Alexandra jijini…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe

>Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa, akiwamo mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Isangati Mbeya Vijijini aliyechomwa kisu na mume wake wakati akiwa amelala.

 

10 years ago

Habarileo

Dereva teksi afumaniwa, auawa kwa kuchomwa kisu kifuani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary NzukiDEREVA teksi Hamis Seleman (18), mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amekufa baada ya kuchomwa kisu kifuani na Ali Kimodo, aliyemfumania akiwa na mpenzi wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Banza Stone: Alianza muziki kwa kuwa mwana Hip Hop 1989

>Kati ya mambo ambayo huenda ulikuwa huyajui, ni kuhusu mwanamuziki wa dansi nchini Ramadhani Masanja, ‘Banza Stone’, mmoja kati ya wanamuziki wa dansi wa kizazi kipya wanaosisimua jukwaani kuwa aliwahi kuwa mwana Hip Hop.

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA adai Hip hop imepoteza maana yake

11249868_666551486778035_1351011407_n

Mwana FA amesema hawezi kuwaunga mkono wasanii wanaopoteza misingi ya muziki wa Hip Hop kwa sababu ya kutengeneza pesa na kuacha changamoto zinazowakabili watanzania

12237384_1626174140976666_877565606_n

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, FA alisema sio lazima kwa msanii kufanya kitu ambacho hana uhakika nacho, hata kama kinaingiza pesa nyingi.

“Iko so obvious muziki umebadilika sana, umetoka katika ile misingi iliyowekwa na sababu zake za kuwepo, umekuwa kuhusu starehe na hela peke...

 

11 years ago

GPL

MWANA HIP HOP DARASA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE USIKU HUU

Mwana Hip hop, Shariff Thabeet 'Darasa' pamoja na Presenta Pamela Daffa 'The Mic Queen' ndani ya Global TV Online. Darasa katika pozi. MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kwa miondoko ya Hip hop, Shariff Thabeet 'Darasa' leo yupo ndani ya studio za Globa TV Online akifanya mahojiano na Presenta mkali, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. (PICHA NA CLARENCE MULISA /… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DENTI AJICHOMA KISU! KWA KUCHOSHWA NA USALITI WA MPENZI WAKE

Moza Kasim Mohemed akiwa hoi baada ya kujichoma kisu cha tumbo.
Stori: Musa Mateja wa GPL
LOO! Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho.

Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka huu maeneo ya Jovena katika Hosteli za Miami ambapo Moza alikuwa akiishi na mpenzi wake...

 

9 years ago

Vijimambo

SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao.Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...

 

9 years ago

GPL

SARKODIE MFALME WA HIP HOP AFRIKA

Mkali wa Hip Hop Ghana, Sarkodie. Boniphace Ngumije UWEZO ndiyo kigezo kikubwa kilichompa heshima Sarkodie kwenye medani ya muziki wa Hip Hop Afrika ambapo tofauti na kujinyakulia tuzo 42 na kuingia katika kinyang’anyiro mara 52, amekuwa akiandikwa katika chati mbalimbali za burudani zikiwemo MTV, The Guardian, BET na E-TV ya Ghana kuwa miongoni mwa wasanii watano wakali wenye heshima ya muda wote barani Afrika. Katika...

 

9 years ago

Habarileo

Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi

WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, likiwamo la mwalimu wa shule ya sekondari Minja wilayani Mwanga, Tumaini Magila (27) kumuua mumewe Sweetbert Magila (48) kwa kumchoma kisu, kutokana na wivu wa kimapenzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani