Auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe
>Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa, akiwamo mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Isangati Mbeya Vijijini aliyechomwa kisu na mume wake wakati akiwa amelala.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Jan
Dereva teksi afumaniwa, auawa kwa kuchomwa kisu kifuani
DEREVA teksi Hamis Seleman (18), mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amekufa baada ya kuchomwa kisu kifuani na Ali Kimodo, aliyemfumania akiwa na mpenzi wake.
10 years ago
GPL
MWANA HIP HOP FLABBA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU NA MPENZI WAKE AFRIKA KUSINI
10 years ago
Habarileo11 Sep
Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi
WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, likiwamo la mwalimu wa shule ya sekondari Minja wilayani Mwanga, Tumaini Magila (27) kumuua mumewe Sweetbert Magila (48) kwa kumchoma kisu, kutokana na wivu wa kimapenzi.
11 years ago
CloudsFM07 Aug
MPIGA DEBE IRINGA AUWAWA KWA KUCHOMWA KISU STAND NJE YA KITUO CHA POLISI
DENI la Sh 2,000 limetosha kumaliza uhai wa mpiga debe maarufu wa stendi ya mabasi yaendeayo mikoani ya mjini Iringa, Samwel Yengayenga baada ya kuchomwa kisu mara mbili katika eneo la mgongoni na kifuani.
Tukio hilo la kinyama limetokea leo majira ya saa 6.55 mchana baada ya Yengayenga na mtuhumiwa wa mauaji yake aliyekuwa akidai kiasi hicho cha fedha kurushiana maneno makali na kisha kupigana.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Auawa kwa kuchomwa moto
KADUCHU Tototo (40) mkazi wa Kijiji cha Rugasha, Kata ya Kibingo wilayani Kyerwa, ameuawa na kuchomwa moto na mafuta ya petroli baada ya kutuhumiwa kuvunja duka la Gerald Daud na...
10 years ago
Dewji Blog19 Nov
Auawa na kuchomwa moto kwa tuhuma za ujambazi
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka, akitoa taarifa ya wananchi kumuua kijana Hussein Jumanne Kisuke (31) anayedaiwa kuwa ni jambazi sugu. Baada ya kumshambuliwa kwa silaha za jadi na kufariki dunia na kisha kumchoma moto.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
Mtuhumiwa wa Ujambazi mkazi wa Misuna Hussein Jumanne Kisuke (31) juzi alipigwa na wananchi wa Misuna mjini Singida kwa kutumia silaha za jadi na kuuwawa na kisha kuchomwa moto.
Kamanda wa...
11 years ago
GPL
MAUAJI SIKUKUU! MCHUMBA AUAWA KWA KUCHOMWA VISU
10 years ago
Habarileo18 Dec
Dereva wa bodaboda auawa kwa kisu
MWENDESHA pikipiki maarufu bodaboda, Zacharia Lungwa (24) mkazi wa Kitongoji cha Kawajense mjini Mpanda katika mkoa wa Katavi ameuawa kwa kuchomwa na kisu na abiria wake aliyekuwa amembeba.
11 years ago
Habarileo29 Apr
Mkuu wa Upelelezi auawa kwa kisu
MKUU wa Upelelezi, Kituo cha Polisi Isebania Wilaya ya Kurya West, Kenya kilicho mpakani na Tanzania, John Kaduri ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mtuhumiwa wa vitendo vya uhalifu.