Dereva wa bodaboda auawa kwa kisu
MWENDESHA pikipiki maarufu bodaboda, Zacharia Lungwa (24) mkazi wa Kitongoji cha Kawajense mjini Mpanda katika mkoa wa Katavi ameuawa kwa kuchomwa na kisu na abiria wake aliyekuwa amembeba.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Jan
Dereva teksi afumaniwa, auawa kwa kuchomwa kisu kifuani
DEREVA teksi Hamis Seleman (18), mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amekufa baada ya kuchomwa kisu kifuani na Ali Kimodo, aliyemfumania akiwa na mpenzi wake.
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Dereva bodaboda auawa kinyama
11 years ago
Habarileo12 Aug
Dereva bodaboda atekwa, auawa
MWENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda, Nuru James (19), ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika wilayani hapa, mkoani Mara.
11 years ago
Habarileo25 Dec
Aliyemuua kikatili dereva bodaboda, auawa kikatili
WANANCHI wamemuua mtuhumiwa wa mauaji wakati akijaribu kutoroka kutoka mjini Namanyere wilayani Nkasi, mkoani Rukwa.
11 years ago
Habarileo29 Apr
Mkuu wa Upelelezi auawa kwa kisu
MKUU wa Upelelezi, Kituo cha Polisi Isebania Wilaya ya Kurya West, Kenya kilicho mpakani na Tanzania, John Kaduri ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mtuhumiwa wa vitendo vya uhalifu.
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe
11 years ago
Habarileo08 Aug
Auawa kwa kisu deni la Tsh.2,000/-
DENI la Sh 2,000 limesababisha mpiga debe katika stendi ya mabasi yaendayo mikoani ya mjini Iringa, Samwel Yengayenga kupoteza uhai wake baada ya kuchomwa kisu na mdeni wake.
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Askari auawa kwa kisu na mtangazaji wa redio
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mume auawa kwa kisu na hawara wa mkewe