Dereva bodaboda auawa kinyama
Watu wasiojulikana wamevamia nyumba ya dereva wa bodaboda, Omari Shaaban (32) na kumuua kisha kuichoma moto, katika tukio linalohusishwa na visa na wivu wa mapenzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Aug
Dereva bodaboda atekwa, auawa
MWENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda, Nuru James (19), ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika wilayani hapa, mkoani Mara.
10 years ago
Habarileo18 Dec
Dereva wa bodaboda auawa kwa kisu
MWENDESHA pikipiki maarufu bodaboda, Zacharia Lungwa (24) mkazi wa Kitongoji cha Kawajense mjini Mpanda katika mkoa wa Katavi ameuawa kwa kuchomwa na kisu na abiria wake aliyekuwa amembeba.
11 years ago
Habarileo25 Dec
Aliyemuua kikatili dereva bodaboda, auawa kikatili
WANANCHI wamemuua mtuhumiwa wa mauaji wakati akijaribu kutoroka kutoka mjini Namanyere wilayani Nkasi, mkoani Rukwa.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Mwanamke auawa kinyama
MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Agnes Peter amefariki dunia baada ya kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili na watu wasiojulikana na kisha kuondoka na titi lake la kushoto. Kwa...
11 years ago
Mwananchi04 Jul
UKATILI: Auawa kinyama
10 years ago
Habarileo21 Dec
Auawa kinyama na kutenganishwa shingo
MKAZI wa kijiji cha Ilalangulu, kata ya Kibaoni wilayani Mlele, Elizabeth Richard (16) ameuawa kwa kuchinjwa shingo, kichwa kikitenganishwa na kiwiliwili chake na watu wasiofahamika kisha wakanyofoa sehemu zake za siri na kuondoka nazo.
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Mwanablogu auawa kinyama Bangladesh
9 years ago
Mwananchi15 Nov
Kigogo Chadema auawa kinyama Geita
11 years ago
Mwananchi31 May
Mwalimu wa kike auawa kinyama wilayani Masasi