Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwalimu wa kike auawa kinyama wilayani Masasi

Matukio ya ukatili yameendelea kushamiri wilayani Masasi, baada ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Sabasaba Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Swaumu Jumanne Chedi (34) kuuawa kinyama na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana (juzi).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mwalimu wa kike shule ya Kigogo Dar auawa na mdogo wake

DSC00179111

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu, Singida

WATU wawili mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwemo la Mwalimu wa shule ya msingi Kigogo jijini Dar-es-salaam, Hawa Idd  (34) baada ya kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na mdogo wake Ramadhan Iddi (24) anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela alisema tukio hilo limetokea Septemba 23 mwaka huu saa...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Auawa kinyama

>Watu wasiofahamika wamemuua mkazi wa Kijiji cha Vikonge Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi,  Kitola Jeremia (45) kwa kumkatwa mapanga sehemu za mwili wake sambamba na kumtoboa tumbo .

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke auawa kinyama

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Agnes Peter amefariki dunia baada ya kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili na watu wasiojulikana na kisha kuondoka na titi lake la kushoto. Kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dereva bodaboda auawa kinyama

Watu wasiojulikana wamevamia nyumba ya dereva wa bodaboda, Omari Shaaban (32) na kumuua kisha kuichoma moto, katika tukio linalohusishwa na visa na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Habarileo

Auawa kinyama na kutenganishwa shingo

Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMKAZI wa kijiji cha Ilalangulu, kata ya Kibaoni wilayani Mlele, Elizabeth Richard (16) ameuawa kwa kuchinjwa shingo, kichwa kikitenganishwa na kiwiliwili chake na watu wasiofahamika kisha wakanyofoa sehemu zake za siri na kuondoka nazo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanablogu auawa kinyama Bangladesh

Mwanablogu mmoja mwenye asili ya Marekani na ile ya Bangladeshi- maarufu kwa maoni ya kumkana Mungu ameuawa kinyama

 

9 years ago

Mwananchi

Kigogo Chadema auawa kinyama Geita

Mji wa Geita umezizima kwa simazi, vilio na majonzi baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kuuawa kinyama kwa kushambuliwa na silaha za jadi ikiwamo kukata kichwa kwa shoka.

 

10 years ago

GPL

LUKUVI AZINDUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZINAZOJENGWA NA NHC WILAYANI MASASI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo, Mh. William Vangimembe Lukuvi akisalimia viongozi wa NHC mara baada ya kuwasili eneo la Napupa Masasi kuzindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC. Anayemuongoza Mh. Waziri ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Felix Maagi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na hadhira iliyofurika katika sherehe za uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Lukuvi azindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC wilayani Masasi

New Picture (3)

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akisalimia viongozi wa NHC mara baada ya kuwasili eneo la Napupa Masasi kuzindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC. Anayemuongoza Mh. Waziri ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Felix Maagi.

New Picture (7)

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na hadhira iliyofurika katika sherehe za uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Wilayani Masasi.Alizitaka taasisi zinazotoa huduma ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani