Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigogo Chadema auawa kinyama Geita

Mji wa Geita umezizima kwa simazi, vilio na majonzi baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kuuawa kinyama kwa kushambuliwa na silaha za jadi ikiwamo kukata kichwa kwa shoka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA AUAWA

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo enzi za uhai wake. Alphonce Mawazo alipokimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Geita kabla ya kukumbwa na mauti. Katoro, Geita MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Busanda kupitia Chadema, Alphonce Mawazo ameuawa leo baada ya kushambuliwa kwa mapanga kichwani na watu wasiofahamika wakati akifanya kampeni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke auawa kinyama

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Agnes Peter amefariki dunia baada ya kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili na watu wasiojulikana na kisha kuondoka na titi lake la kushoto. Kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Auawa kinyama

>Watu wasiofahamika wamemuua mkazi wa Kijiji cha Vikonge Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi,  Kitola Jeremia (45) kwa kumkatwa mapanga sehemu za mwili wake sambamba na kumtoboa tumbo .

 

9 years ago

Mtanzania

Mauaji ya kinyama yarejea Geita

NA VICTOR BARIETY, GEITA

MAUAJI ya kinyama ambayo yanahusishwa na imani za kishirikina yameanza kurejea mkoani Geita, baada ya watu wanne wa familia moja wakazi wa kijiji cha Bugalama wilayani Geita kuuawa.

Watu ambao majina yao hajatambuliwa mara moja, wameuawa kwa kuchinjwa shingo kama kuku.

Waliouawa katika tukio hilo lililotokea Desemba Mosi, ni wanawake watatu na mtoto mmoja.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita,Latson Mponjoli alipoulizwa jana alikiri  kutokea kwa tukio hilo.

Akisimulia...

 

10 years ago

Habarileo

Auawa kinyama na kutenganishwa shingo

Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMKAZI wa kijiji cha Ilalangulu, kata ya Kibaoni wilayani Mlele, Elizabeth Richard (16) ameuawa kwa kuchinjwa shingo, kichwa kikitenganishwa na kiwiliwili chake na watu wasiofahamika kisha wakanyofoa sehemu zake za siri na kuondoka nazo.

 

10 years ago

Mwananchi

Dereva bodaboda auawa kinyama

Watu wasiojulikana wamevamia nyumba ya dereva wa bodaboda, Omari Shaaban (32) na kumuua kisha kuichoma moto, katika tukio linalohusishwa na visa na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanablogu auawa kinyama Bangladesh

Mwanablogu mmoja mwenye asili ya Marekani na ile ya Bangladeshi- maarufu kwa maoni ya kumkana Mungu ameuawa kinyama

 

11 years ago

Mwananchi

Mwalimu wa kike auawa kinyama wilayani Masasi

Matukio ya ukatili yameendelea kushamiri wilayani Masasi, baada ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Sabasaba Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Swaumu Jumanne Chedi (34) kuuawa kinyama na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana (juzi).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo CCM auawa

MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani