Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwalimu wa kike shule ya Kigogo Dar auawa na mdogo wake

DSC00179111

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu, Singida

WATU wawili mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwemo la Mwalimu wa shule ya msingi Kigogo jijini Dar-es-salaam, Hawa Idd  (34) baada ya kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na mdogo wake Ramadhan Iddi (24) anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela alisema tukio hilo limetokea Septemba 23 mwaka huu saa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwalimu wa kike auawa kinyama wilayani Masasi

Matukio ya ukatili yameendelea kushamiri wilayani Masasi, baada ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Sabasaba Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Swaumu Jumanne Chedi (34) kuuawa kinyama na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana (juzi).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kaka auawa na mdogo wake

MKAZI wa Kijiji cha Kapele, wilayani Momba, Adamu Silumbe (27), amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya kuchomwa kisu mgongoni na mdogo wake. Kamanda...

 

11 years ago

GPL

MWALIMU SHULE YA MSINGI AMTIA MIMBA MWANAFUNZI WAKE

Ofisa Elimu Msingi, Wilaya ya Nkasi, Bw. Misana Kwangura akizungumza na Thehabari. Na Thehabari.com, Namanyere-Nkasi MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Sintali (jina tunalo) anatuhumiwa kwa kuwatia mimba wanafunzi wawili mmoja akiwa wa shule anayofundisha yeye na mwingine wa Shule ya Sekondari Sintali hali iliowafanya wanafunzi hao kukatisha masomo. Tukio hilo limetokea Katika Kijiji cha Sintali, Wilaya ya Nkasi na baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo CCM auawa

MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...

 

11 years ago

GPL

KIGOGO MAGEREZA ATESWA, AUAWA

Stori:Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa KIGOGO wa cheo cha juu katika Jeshi la Magereza Tanzania, SP Barnabas Nkuba (56) ameuawa kikatili kisha mwili wake kuburuzwa na kutupwa kwenye choo cha nje cha nyumba yake, Uwazi limeichimba. Jeneza lenye mwili wa marehemu, SP Barnabas Nkuba (56) likiwa limebebwa na maofisa wa Jeshi la Magereza Tanzania.
Tukio hilo lililoacha maswali mengi lakini majibu kiduchu huku jeshi la...

 

11 years ago

GPL

KIGOGO CCM AUAWA JIJINI MWANZA

Clement Mabina enzi za uhai wake. Taarifa zilizotufikia ni kwamba, Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa mchana huu Kisesa, Mwanza baada ya kumpiga risasi raia mmoja na yeye kuuawa katika ugomvi wa…

 

9 years ago

Mwananchi

Kigogo Chadema auawa kinyama Geita

Mji wa Geita umezizima kwa simazi, vilio na majonzi baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kuuawa kinyama kwa kushambuliwa na silaha za jadi ikiwamo kukata kichwa kwa shoka.

 

11 years ago

Bongo5

Diamond atoa sababu za kuwatumia wazungu kwenye video ya ‘Mdogo mdogo’, script iliandikwa na Adam Kuambiana na ‘baby’ wake (Wema)

Kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video ya ‘Mdogo mdogo’ ya Diamond Platnumz iliyotoka Jumatatu ya wiki hii. Wapo ambao wamefurahishwa na story iliyoko kwenye video hiyo na wengine ambao hawajaiunga mkono moja kwa moja kutokana na kila mmoja kuwa na sababu tofauti hali ambayo imeleta mabishano mengi katika comments za youtube na kwingine. Lakini […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani