Kaka auawa na mdogo wake
MKAZI wa Kijiji cha Kapele, wilayani Momba, Adamu Silumbe (27), amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya kuchomwa kisu mgongoni na mdogo wake. Kamanda...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Oct
Kaka wa Jenerali Mwamunyange naye akanusha mdogo wake kulishwa sumu
Na Victoria Patrick, Dar es Salaam
KAMISHINA Msadizi na Mwandamizi mstaafu wa Jeshi la Polisi, Aden Mwamunyange ambaye ni kaka wa Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Davis Mwamunyange, naye amekanusha taarifa zilizoenezwa hivi karibuni katika mitandao ya jamii kuwa amelishwa simu.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Jeti Lumo, Dar es Salaam jana, alisema hizo taarifa hizo si za kweli na ni uzushi.
“Mimi kama mwana familia nakanusha taarifa hizo...
10 years ago
GPL18 Feb
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Mwalimu wa kike shule ya Kigogo Dar auawa na mdogo wake
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU wawili mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwemo la Mwalimu wa shule ya msingi Kigogo jijini Dar-es-salaam, Hawa Idd (34) baada ya kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na mdogo wake Ramadhan Iddi (24) anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela alisema tukio hilo limetokea Septemba 23 mwaka huu saa...
11 years ago
Bongo509 Jul
Diamond atoa sababu za kuwatumia wazungu kwenye video ya ‘Mdogo mdogo’, script iliandikwa na Adam Kuambiana na ‘baby’ wake (Wema)
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Mtoto mdogo auawa, akatwa sehemu za siri
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IDSxpu6BW21b93QXEBmZXchzsAiAp9HzpD3U-YlZMBztcXJUcVN1YkxiYr36pxA9Y5-5f2GvKCKmW0YsKu26slmfpMAH8ddF/Vanessa3.jpg)
KAKA KUCHA FUPI ZINA UTAMU WAKE
9 years ago
Habarileo05 Nov
Apinga ushindi wa mdogo wake
MGOMBEA udiwani kata mpya ya Kanda wilaya ya Sumbawanga Vijijini mkoa wa Rukwa, Ozem Chapita (Chadema) amepinga matokeo yaliyompatia ushindi mdogo wake Yowtai Meshack (CCM) kwa tofauti ya kura moja. Katika matokeo ya uchaguzi huo yalimtangaza Meshack (CCM) kuwa mshindi wa udiwani kata ya Kanda.
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Kourtney anaswa na mpenzi wa mdogo wake
LOS ANGELES, MAREKANI
DADA wa Kim Kardashian, Kourtney, amejikuta akiingia katika mgogoro na mdogo wake, Khloe Kardashian, kutokana na kukutwa mara kwa mara na mpenzi wa mdogo wake huyo.
Awali Khloe alikuwa na uhusiano na msanii wa hip hop nchini Marekani, French Montana, lakini baada ya kuachana msanii huyo ameonekana mara kwa mara akiwa karibu na shemeji yake huyo.
Hata hivyo kutokana na picha zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali, Khloe hajaongea lolote, lakini inasemekana kwamba ndugu...