Kaka wa Jenerali Mwamunyange naye akanusha mdogo wake kulishwa sumu
Na Victoria Patrick, Dar es Salaam
KAMISHINA Msadizi na Mwandamizi mstaafu wa Jeshi la Polisi, Aden Mwamunyange ambaye ni kaka wa Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Davis Mwamunyange, naye amekanusha taarifa zilizoenezwa hivi karibuni katika mitandao ya jamii kuwa amelishwa simu.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Jeti Lumo, Dar es Salaam jana, alisema hizo taarifa hizo si za kweli na ni uzushi.
“Mimi kama mwana familia nakanusha taarifa hizo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzimkuu wa majeshi jenerali Davis Mwamunyange na ujumbe wake wakiwa Dubai
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Kaka auawa na mdogo wake
MKAZI wa Kijiji cha Kapele, wilayani Momba, Adamu Silumbe (27), amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya kuchomwa kisu mgongoni na mdogo wake. Kamanda...
9 years ago
GPLA-Z MR. NICE KULISHWA SUMU
10 years ago
GPL18 Feb
10 years ago
Bongo518 Feb
Tyga akanusha kuwa na uhusiano na mdogo wake Kim Kardashian, azungumzia diss ya Drake
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Jenerali Mwamunyange awafunda wakufunzi
9 years ago
Vijimambo21 Oct
Jenerali Mwamunyange sasa aibukia Ngerengere.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Kikwete alisema kuwa katika miaka 10 ya uongozi wake, amefanya mambo mengi kwa Watanzania pamoja na kuliacha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likiwa katika hali nzuri ya kiutendaji.
Alisema hakuna nchi inayoweza kupata maendeleo...
9 years ago
Habarileo27 Sep
‘Waliomzushia Jenerali Davis Mwamunyange waombe radhi’
WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, imewataka watu waliosambaza uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, kuwa amelazwa nje ya nchi kwa ugonjwa, kuomba radhi mapema la sivyo watachukuliwa hatua.
9 years ago
Mtanzania04 Nov
Mahakama yakusudia kumpa dhamana aliyemzushia Jenerali Mwamunyange
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, inaangalia mwelekeo wa kumpa dhamana mwanafunzi wa Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT), Benedict Ngonyani, anayetuhumiwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange, amelishwa sumu.
Hayo yalidaiwa jana mahakamani hapo, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikitajwa na upande wa Jamhuri na kudai kuwa upelelezi haujakamilika.
Hakimu Mkazi Respicius Mwijage, aliahirisha kesi hiyo...