Jenerali Mwamunyange sasa aibukia Ngerengere.
\Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, (pichani) ameibukia katika Kamandi ya Anga Kizuka iliyopo Ngerengere, mkoani Morogoro wakati Rais Jakaya Kikwete, akizindua uwanja wa Ndege wa Kamandi hiyo.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Kikwete alisema kuwa katika miaka 10 ya uongozi wake, amefanya mambo mengi kwa Watanzania pamoja na kuliacha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likiwa katika hali nzuri ya kiutendaji.
Alisema hakuna nchi inayoweza kupata maendeleo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Jenerali Mwamunyange awafunda wakufunzi
9 years ago
Habarileo27 Sep
‘Waliomzushia Jenerali Davis Mwamunyange waombe radhi’
WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, imewataka watu waliosambaza uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, kuwa amelazwa nje ya nchi kwa ugonjwa, kuomba radhi mapema la sivyo watachukuliwa hatua.
9 years ago
Mtanzania04 Nov
Mahakama yakusudia kumpa dhamana aliyemzushia Jenerali Mwamunyange
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, inaangalia mwelekeo wa kumpa dhamana mwanafunzi wa Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT), Benedict Ngonyani, anayetuhumiwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange, amelishwa sumu.
Hayo yalidaiwa jana mahakamani hapo, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikitajwa na upande wa Jamhuri na kudai kuwa upelelezi haujakamilika.
Hakimu Mkazi Respicius Mwijage, aliahirisha kesi hiyo...
10 years ago
VijimamboMAMLAKA ZA MISHENI ZA ULINZI WA AMANI ZIWE WAZI-JENERALI MWAMUNYANGE
9 years ago
Mtanzania15 Oct
Kaka wa Jenerali Mwamunyange naye akanusha mdogo wake kulishwa sumu
Na Victoria Patrick, Dar es Salaam
KAMISHINA Msadizi na Mwandamizi mstaafu wa Jeshi la Polisi, Aden Mwamunyange ambaye ni kaka wa Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Davis Mwamunyange, naye amekanusha taarifa zilizoenezwa hivi karibuni katika mitandao ya jamii kuwa amelishwa simu.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Jeti Lumo, Dar es Salaam jana, alisema hizo taarifa hizo si za kweli na ni uzushi.
“Mimi kama mwana familia nakanusha taarifa hizo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VxWu5MJs4MI/VRY05nLKl8I/AAAAAAAHNvU/eFQb7AJQr2c/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
MAMLAKA ZINAZOHUSU OPERESHENI ZA ULINZI WA AMANI ZIWE WAZI- JENERALI MWAMUNYANGE
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-D9nkOYmUZWc/U-Gv2ZjaItI/AAAAAAAF9do/tzioY02699Q/s72-c/20140805_115440.jpg)
mkuu wa majeshi jenerali Davis Mwamunyange na ujumbe wake wakiwa Dubai
![](http://2.bp.blogspot.com/-D9nkOYmUZWc/U-Gv2ZjaItI/AAAAAAAF9do/tzioY02699Q/s1600/20140805_115440.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dh5eteQFvek/U-Gv2R3OlJI/AAAAAAAF9dk/6UjmIng_TJM/s1600/20140805_115447.jpg)
10 years ago
MichuziMKUU WA MAJESHI TANZANIA JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AFUNGUA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-J3LhQZ2lk3U/VgV5Rk9E8RI/AAAAAAAH7Ks/q0l4Z86Jk28/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MKUU WA MAJESHI CDF JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE YU BUHERI WA AFYA NA YUPO NCHINI ITALIA KIKAZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-J3LhQZ2lk3U/VgV5Rk9E8RI/AAAAAAAH7Ks/q0l4Z86Jk28/s400/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Kwa mujibu wa taarifa za familia ya Jenerali Mwamunyange pamoja na makao makuu ya jeshi ambazo Globu ya Jamii imezisaka na kuzipata, kiongozi huyu wa JWTZ hivi sasa yupo nchini Italia kwa ziara ya kikazi ya siku tisa kama anavyoonekana pichani...