MAMLAKA ZINAZOHUSU OPERESHENI ZA ULINZI WA AMANI ZIWE WAZI- JENERALI MWAMUNYANGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-VxWu5MJs4MI/VRY05nLKl8I/AAAAAAAHNvU/eFQb7AJQr2c/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange, amelishauri Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, kuweka bayana na kwa uwazi mamlaka ( mandate) ambayo misheni ya kulinda Amani itapaswa kutelekeza kule inakopangiwa kwenda. Ametoa ushauri huu siku ya Alhamisi wakati alipokuwa akitoa mchango wake kwenye mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi ambao nchi zao zinachangia katika operesheni za ulinzi wa Amani za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAMLAKA ZA MISHENI ZA ULINZI WA AMANI ZIWE WAZI-JENERALI MWAMUNYANGE
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DEvsXZ_pIOY/U7Jkx7zeooI/AAAAAAAFt4I/Tal98B4vqew/s72-c/unnamed+(22).jpg)
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za miaka 10 ya chuo cha JKT mapinga
![](http://1.bp.blogspot.com/-DEvsXZ_pIOY/U7Jkx7zeooI/AAAAAAAFt4I/Tal98B4vqew/s1600/unnamed+(22).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-OZEsYqejBEk/U7JkyCW-VQI/AAAAAAAFt4U/G2e18OYbw3I/s1600/unnamed+(23).jpg)
10 years ago
VijimamboTANZANIA KUONGEZA USHIRIKI WAKE KATIKA OPERESHENI ZA ULINZI WA AMANI-MHE. MEMBE
![](http://1.bp.blogspot.com/-AGuZ9UNfek4/VCZZmrO2gTI/AAAAAAADFjo/Yma0y-acPqA/s1600/604478.jpg)
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa uimarishaji wa Operesheni za...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ODTZVoMz6dk/VCYmMZtGpwI/AAAAAAAGmEc/sP0pz2ThuDk/s72-c/unnamed%2B(14).jpg)
TANZANIA KUONGEZA USHIRIKI WAKE KATIKA OPERESHENI ZA ULINZI WA AMANI-MHE. MEMBE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IpZmrjUsHEY/VC2PXu4S-hI/AAAAAAAGnWk/aijyoZgP5TQ/s72-c/image.jpeg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO
![](http://4.bp.blogspot.com/-IpZmrjUsHEY/VC2PXu4S-hI/AAAAAAAGnWk/aijyoZgP5TQ/s1600/image.jpeg)
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Jenerali Mwamunyange awafunda wakufunzi
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Ukivaa blauzi ya wazi, kwapa zako ziwe safi
KATIKA maisha yetu ya kila siku hapa duniani kuna vitu vingi vinavyotuzunguka, ingawaje si vitu vyote ni vya muhimu kwa kila mtu, lakini kuna vitu kama vile chakula, malazi na...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Irym2LSo0jY/VC15aJkNk3I/AAAAAAADGkk/QTnF4EXo3RY/s72-c/image.jpeg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Irym2LSo0jY/VC15aJkNk3I/AAAAAAADGkk/QTnF4EXo3RY/s1600/image.jpeg)
9 years ago
Vijimambo21 Oct
Jenerali Mwamunyange sasa aibukia Ngerengere.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mamu-21Oct2015.png)
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Kikwete alisema kuwa katika miaka 10 ya uongozi wake, amefanya mambo mengi kwa Watanzania pamoja na kuliacha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likiwa katika hali nzuri ya kiutendaji.
Alisema hakuna nchi inayoweza kupata maendeleo...