Apinga ushindi wa mdogo wake
MGOMBEA udiwani kata mpya ya Kanda wilaya ya Sumbawanga Vijijini mkoa wa Rukwa, Ozem Chapita (Chadema) amepinga matokeo yaliyompatia ushindi mdogo wake Yowtai Meshack (CCM) kwa tofauti ya kura moja. Katika matokeo ya uchaguzi huo yalimtangaza Meshack (CCM) kuwa mshindi wa udiwani kata ya Kanda.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo01 Nov
Apinga ushindi wa Malocha jimbo la Kwela
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Daniel Nafthal Ngogo, jana alfajiri alitoka nje ya ukumbi akibubujikwa na machozi huku akipinga matokeo yalioonyesha kwamba ameshindwa.
9 years ago
Habarileo05 Nov
Mwakalebela apinga ushindi wa Msigwa kortini
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Frederick Mwakalebela, amekwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Msigwa.
11 years ago
Bongo509 Jul
Diamond atoa sababu za kuwatumia wazungu kwenye video ya ‘Mdogo mdogo’, script iliandikwa na Adam Kuambiana na ‘baby’ wake (Wema)
10 years ago
Habarileo26 Aug
Museveni apinga kuoa wake wengi
RAIS Yoweri Museveni ameshauri wanaume kuachana na mfumo wa kuuoa wanawake wengi, kwa maelezo kuwa suala hilo linavuruga umoja ndani ya familia na linachangia kuwepo kwa matumizi mabaya ya rasilimali za familia.
9 years ago
StarTV23 Nov
Chama cha Mapinduzi chapata ushindi Uchaguzi Mdogo Jimbo La Ulanga
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro amepatikana mara baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika jimboni humo kukamilika na msimamizi wa jimbo hilo kumtangaza Goodluck Mlinga kuwa ndiye mshindi.
Katika uchaguzi huo uliofanyika Novemba 22 na kushirikisha vyama vitatu vya CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo, Goodluck Mlinga ameshinda kwa kupata kura 25902 sawa na asilimia 69.78, mgombea wa CHADEMA akipata kura 10592 sawa na asilimia 28.53 na mgombea kupitia ACT wazalendo akipata...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Kaka auawa na mdogo wake
MKAZI wa Kijiji cha Kapele, wilayani Momba, Adamu Silumbe (27), amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya kuchomwa kisu mgongoni na mdogo wake. Kamanda...
10 years ago
CloudsFM17 Mar
Jose Chameleone afiwa na Mdogo wake
![](http://api.ning.com/files/E-eiwesnIS33541LGV6jlvpdfTKTiaxPaZii7kVe*bm2Qc253JM-xPh8rwWybrZ8gQbfZHBEOJlPiKUynU*ksMfWfGJNaqi5/JIKAMILION.jpg)
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Kourtney anaswa na mpenzi wa mdogo wake
LOS ANGELES, MAREKANI
DADA wa Kim Kardashian, Kourtney, amejikuta akiingia katika mgogoro na mdogo wake, Khloe Kardashian, kutokana na kukutwa mara kwa mara na mpenzi wa mdogo wake huyo.
Awali Khloe alikuwa na uhusiano na msanii wa hip hop nchini Marekani, French Montana, lakini baada ya kuachana msanii huyo ameonekana mara kwa mara akiwa karibu na shemeji yake huyo.
Hata hivyo kutokana na picha zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali, Khloe hajaongea lolote, lakini inasemekana kwamba ndugu...