Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jose Chameleone afiwa na Mdogo wake

Aliyekuwa Mdogo wake Jose Chameleone, AK47 afariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kudondoka chooni na kugonga kichwana kabla umauti haujamfika alipost picha kupitia mitandao ya kijamii na aliandika maneno ya nyimbo ya injili kwam lugha kiganda yakisema

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Jose Chameleone apata pigo afiwa na mdogo wake AK47

Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI wa dancehall, Emmanuel Mayanja (AK47) ambaye ni mdogo wa mwanamuziki Jose Chameleone, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kudondoka vibaya akiwa bafuni.
Mayanja, ambaye ndiye mdogo pekee wa Chameleone aliyebaki katika lebo yake ya Leon Island Records, baada ya Weasel na Pallaso kujiengua, anaelezwa kufariki dunia katika mji wa Kabalagala, Kampala nchini Uganda,
Kifo chake kilithibitishwa na madaktari baada ya kufikishwa katika hospitali ya Nsambya...

 

10 years ago

Bongo5

Mdogo wa Jose Chameleone, AK47 afariki dunia

Muimbaji wa dancehall, AK47 wa Uganda ambaye ni mdogo wa Jose Chameleone, Weasel na Pallaso amefariki dunia. Taarfifa zilizoripotiwa na mitandao ya Uganda zinaeleza kwamba Emmanuel Mayanja a.k.a AK47 alifariki usiku wa Jumatatu (March 16) baada ya kuteleza na kudondoka vibaya bafuni. Alithibitika kuwa amefariki akiwa hospitali ya Nsambya alipokimbizwa na marafiki. Chameleone na Weasel […]

 

9 years ago

Bongo5

Jose Chameleone: Nasaidia wasanii wachanga kwasababu nilipokuwa msanii mdogo nilinyimwa nafasi hiyo

Jose Chameleone ni mwanamuziki mkubwa wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla, lakini ni miongoni mwa wanamuziki ambao hawana ugumu wa kusaidia wasanii mbalimbali hata wadogo pale linapokuja swala la kufanya collabo. Staa huyo kutoka Uganda ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania, wakiwemo wakubwa na wanaochipukia, kitu ambacho amesema anafanya kwa msanii yeyote atakaye […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Barnaba aonjesha wimbo wake na Jose Chameleone ‘Nakutunza’ utakaotoka Nov.5

Leo Oct.30 ndio siku ambayo mashabiki wa Afrika Mashariki wangesikiliza kwa mara ya kwanza collabo ya Barnaba Classic na Jose Chameleone – ‘Nakutunza’, lakini imesongezwa mbele hadi Novemba 5. Kutokana na kusogeza mbele tarehe ya kutoa wimbo huo, Barnaba ameamua kuwaonjesha sehemu ndogo ya wimbo huo kupitia akaunti yake ya Instagram. Alianzia kuandika ujumbe; “Heloooo […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Jose Chameleone — Milliano

Superstar wa Uganda, Jose Chameleone ameachia ngoma mpya ‘Milliano’. Isikilize hapa.

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Jose Chameleone — Milliano

Dr. Jose Chameleone ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Milliano’. Itazame hapa

 

9 years ago

Bongo5

Music: Barnaba Ft. Jose Chameleone — Nakutunza

artist_117bc98a7858d72001aa05a94602b4308f1.jpg

Huu ni wimbo mpya kutoka msanii Barnaba wimbo unaitwa “Nakutunza” amemshirikisha Jose Chameleone kutoka Uganda, Wimbo umefanyika katika studio za Hightable Sound.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani