Jose Chameleone apata pigo afiwa na mdogo wake AK47
Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI wa dancehall, Emmanuel Mayanja (AK47) ambaye ni mdogo wa mwanamuziki Jose Chameleone, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kudondoka vibaya akiwa bafuni.
Mayanja, ambaye ndiye mdogo pekee wa Chameleone aliyebaki katika lebo yake ya Leon Island Records, baada ya Weasel na Pallaso kujiengua, anaelezwa kufariki dunia katika mji wa Kabalagala, Kampala nchini Uganda,
Kifo chake kilithibitishwa na madaktari baada ya kufikishwa katika hospitali ya Nsambya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM17 Mar
Jose Chameleone afiwa na Mdogo wake
![](http://api.ning.com/files/E-eiwesnIS33541LGV6jlvpdfTKTiaxPaZii7kVe*bm2Qc253JM-xPh8rwWybrZ8gQbfZHBEOJlPiKUynU*ksMfWfGJNaqi5/JIKAMILION.jpg)
10 years ago
Bongo517 Mar
Mdogo wa Jose Chameleone, AK47 afariki dunia
10 years ago
VijimamboJULIO APATA PIGO, MDOGO WAKE AUWAWA NCHINI AFRIKA KUSINI
"Kweli alimwagiwa maji na huyo Mzimbabwe...
10 years ago
Vijimambo17 Mar
AY ATUMA SALAM ZA POLE KWA JOSE CHAMELEONE KWA KIFO CHA AK47
![](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/ay1.jpg)
Marehemu Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni.
Taarifa zimeeleza kuwa kabla ya mauti kumkuta, AK47 alikuwa katika baa moja ya usiku iliyopo eneo la Kabalagala pamoja na marafiki zake.
Imeelezwa kuwa alidondoka akiwa bafuni wakati akiongea na simu na kukimbizwa katika...
10 years ago
Bongo Movies06 Aug
Lulu Apata Pigo, Afiwa na Bibi Yake
MSIBA! Staa mwenye umri mdogo anayekimbiza katika filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amepata pigo baada ya kufiwa na bibi yake mzaa mama, Leonadina Mboneko, aliyefariki dunia juzi asubuhi katika Hospitali ya Masana, iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Amani mama mzazi wa Lulu, Lucresia Karugila alisema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu jambo lililomlazimu kumtoa nyumbani kwake Bukoba na kumleta jijini kwa ajili ya kupata...
9 years ago
Bongo524 Oct
Jose Chameleone: Nasaidia wasanii wachanga kwasababu nilipokuwa msanii mdogo nilinyimwa nafasi hiyo
9 years ago
Bongo530 Oct
Music: Barnaba aonjesha wimbo wake na Jose Chameleone ‘Nakutunza’ utakaotoka Nov.5