Mdogo wa Jose Chameleone, AK47 afariki dunia
Muimbaji wa dancehall, AK47 wa Uganda ambaye ni mdogo wa Jose Chameleone, Weasel na Pallaso amefariki dunia. Taarfifa zilizoripotiwa na mitandao ya Uganda zinaeleza kwamba Emmanuel Mayanja a.k.a AK47 alifariki usiku wa Jumatatu (March 16) baada ya kuteleza na kudondoka vibaya bafuni. Alithibitika kuwa amefariki akiwa hospitali ya Nsambya alipokimbizwa na marafiki. Chameleone na Weasel […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Jose Chameleone apata pigo afiwa na mdogo wake AK47
Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI wa dancehall, Emmanuel Mayanja (AK47) ambaye ni mdogo wa mwanamuziki Jose Chameleone, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kudondoka vibaya akiwa bafuni.
Mayanja, ambaye ndiye mdogo pekee wa Chameleone aliyebaki katika lebo yake ya Leon Island Records, baada ya Weasel na Pallaso kujiengua, anaelezwa kufariki dunia katika mji wa Kabalagala, Kampala nchini Uganda,
Kifo chake kilithibitishwa na madaktari baada ya kufikishwa katika hospitali ya Nsambya...
10 years ago
GPLKAKA WA CHAMELEONE AK47 AFARIKI DUNIA
10 years ago
Vijimambo17 Mar
AY ATUMA SALAM ZA POLE KWA JOSE CHAMELEONE KWA KIFO CHA AK47
![](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/ay1.jpg)
Marehemu Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni.
Taarifa zimeeleza kuwa kabla ya mauti kumkuta, AK47 alikuwa katika baa moja ya usiku iliyopo eneo la Kabalagala pamoja na marafiki zake.
Imeelezwa kuwa alidondoka akiwa bafuni wakati akiongea na simu na kukimbizwa katika...
10 years ago
CloudsFM17 Mar
Jose Chameleone afiwa na Mdogo wake
![](http://api.ning.com/files/E-eiwesnIS33541LGV6jlvpdfTKTiaxPaZii7kVe*bm2Qc253JM-xPh8rwWybrZ8gQbfZHBEOJlPiKUynU*ksMfWfGJNaqi5/JIKAMILION.jpg)
9 years ago
Bongo524 Oct
Jose Chameleone: Nasaidia wasanii wachanga kwasababu nilipokuwa msanii mdogo nilinyimwa nafasi hiyo
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-EccNZVgBBFA/Xqf0LRQZFRI/AAAAAAAC4Gs/ltneWgFeSfsurKMh2os4RsjMEi2VOmpKgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
TANZIA: MDOGO LOWASSA AFARIKI DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-EccNZVgBBFA/Xqf0LRQZFRI/AAAAAAAC4Gs/ltneWgFeSfsurKMh2os4RsjMEi2VOmpKgCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Mdogo wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es salaam.
Mtoto wa Waziri Mkuu huyo Mstaafu Fred Lowassa amethibitisha hayo
"Ni kweli ndugu yetu Bernard lowassa amefariki yeye ni Baba yangu mdogo, na alikuwa amelazwa Aga Khan na hapa familia tunaenda hospitalini kwa ajili ya kukutana."- Amesema
10 years ago
Bongo519 Nov
New Music: Jose Chameleone — Milliano
9 years ago
Bongo522 Sep
Jose Chameleone finally comes clean about Illuminati