KAKA WA CHAMELEONE AK47 AFARIKI DUNIA
Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47 enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI wa dancehall nchini Uganda, Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni. Wimbo mpya wa marehemu AK47. Taarifa zimeeleza kuwa kabla ya mauti kumkuta, AK47 alikuwa katika baa moja ya usiku iliyopo eneo la Kabalagala pamoja na marafiki zake. Imeelezwa kuwa alidondoka akiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo517 Mar
Mdogo wa Jose Chameleone, AK47 afariki dunia
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Jose Chameleone apata pigo afiwa na mdogo wake AK47
Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI wa dancehall, Emmanuel Mayanja (AK47) ambaye ni mdogo wa mwanamuziki Jose Chameleone, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kudondoka vibaya akiwa bafuni.
Mayanja, ambaye ndiye mdogo pekee wa Chameleone aliyebaki katika lebo yake ya Leon Island Records, baada ya Weasel na Pallaso kujiengua, anaelezwa kufariki dunia katika mji wa Kabalagala, Kampala nchini Uganda,
Kifo chake kilithibitishwa na madaktari baada ya kufikishwa katika hospitali ya Nsambya...
10 years ago
Vijimambo17 Mar
AY ATUMA SALAM ZA POLE KWA JOSE CHAMELEONE KWA KIFO CHA AK47
![](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/ay1.jpg)
Marehemu Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni.
Taarifa zimeeleza kuwa kabla ya mauti kumkuta, AK47 alikuwa katika baa moja ya usiku iliyopo eneo la Kabalagala pamoja na marafiki zake.
Imeelezwa kuwa alidondoka akiwa bafuni wakati akiongea na simu na kukimbizwa katika...
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Y-P WA TMK AFARIKI DUNIA
10 years ago
Uhuru Newspaper08 Apr
Dk. Mhita afariki dunia
NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA),Dk. Mohamed Mhita, amefariki dunia. Dk. Mhita ambaye pia ni mume wa Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita, anatarajiwa kuzikwa leo baada ya kuwasili kwa mkewe, aliyeko India kwa matibabu. Akizungumza na waandishi wa habari, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema baba yake aliugua maralia, Jumatatu alfajiri na kupelekwa hospitali, ambapo alifariki usiku. Alisema walipofika hospitali walibaini kuwa shinikizo la...
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Gurumo afariki dunia