Y-P WA TMK AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Wasanii wa Wanaume Family, kutoka kushoto, Dogo Aslay, Stiko na YP (Kushoto) wakiwa katika pozi. Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’ amefariki dunia usiku wa jana katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kifua. Akizungumza na mtandao huu Kiongozi wa kundi hilo, Said Fela, amethibitisha msiba huo na kusema ratiba kamili itatoka leo mchana....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Msanii YP wa TMK Wanaume Family afariki
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Yessaya Ambikile ‘YP’ amefariki dunia juzi usiku akiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Temeke ambako alikuwa anatibiwa....
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia
10 years ago
Uhuru Newspaper08 Apr
Dk. Mhita afariki dunia
NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA),Dk. Mohamed Mhita, amefariki dunia. Dk. Mhita ambaye pia ni mume wa Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita, anatarajiwa kuzikwa leo baada ya kuwasili kwa mkewe, aliyeko India kwa matibabu. Akizungumza na waandishi wa habari, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema baba yake aliugua maralia, Jumatatu alfajiri na kupelekwa hospitali, ambapo alifariki usiku. Alisema walipofika hospitali walibaini kuwa shinikizo la...
10 years ago
CloudsFM21 Oct
MSANII YP AFARIKI DUNIA
Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Gurumo afariki dunia
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Mwanakatwe afariki dunia
KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa Shirikisho la Soka Tanzania – TFF), Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe amefariki dunia jana asubuhi katika Hospitali Kuu ya...
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Mbunge afariki dunia
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Angela Kanjanja afariki dunia