Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge afariki dunia

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepata pigo lingine kwa kuondokewa na Mbunge wa Chalinze (CCM), Said Bwanamdogo, ambaye amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbunge Ukonga afariki dunia

>Mbunge wa Ukonga (CCM), Eugen Mwaiposa amefariki dunia usiku wa kuamkia jana nyumbani kwake eneo la Chadulu mjini Dodoma saa chache baada ya kutoka katika kikao cha 19 cha mkutano wa 20 wa Bunge la 10.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge wa Ukonga afariki dunia

Eugen Mwaiposa enzi za uhai wakeMBUNGE wa jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa (CCM) amefariki dunia nyumbani kwake usiku wa kuamkia jana akiwa usingizini.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge afariki dunia Dodoma

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Mariam Mfaki (68) amefariki dunia jana mchana katika Hospitali ya Mkoa mjini hapa alipokuwa akipatiwa matibabu ya saratani. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Ezekiel Mpuya alisema mbunge huyo alifariki saa 5.30 asubuhi.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbunge wa Ukonga afariki dunia usingizini

mwaiposaNA ARODIA PETER, DODOMA
MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa (55), amefariki dunia usiku wa kuamkia jana mjini Dodoma akiwa usingizini.
Akitangaza msiba huo bungeni jana, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, alisema Mwaiposa alifariki dunia akiwa nyumbani kwake eneo la Chadulu mjini hapa.
Alisema kwa muda mrefu mbunge huyo aliyeingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, alikuwa na tatizo la shinikizo la damu.
Wabunge walikuwa wakiendelea kuchangia bajeti ya Wizara ya Afya na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge wa Geita afariki dunia Muhimbili

Mbunge wa Geita (CCM), Donald Max (58) amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake. Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa (MOI), amefariki…

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA UKONGA, EUGENE MWAIPOSA AFARIKI DUNIA

Eugene Mwaiposa enzi za uhai wake. MBUNGE wa Jimbo la Ukonga, Eugene Mwaiposa (CCM) amefariki dunia akiwa nyumbani kwake mkoani Dodoma leo baada ya kusumbuliwa na shinikizo la damu kwa muda mrefu. Taarifa iliyotolewa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kwamba marehemu alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani kwake Dodoma. Ameongeza kuwa nyumbani kwa marehemu ni...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA AFARIKI DUNIA BUNGE LAAHIRISHWA

Eugene Mwaiposa enzi za uhai wake.
MBUNGE wa Jimbo la Ukonga, Eugene Mwaiposa (CCM) amefariki dunia akiwa nyumbani kwake mkoani Dodoma leo baada ya kusumbuliwa na shinikizo la damu kwa muda mrefu.
Taarifa iliyotolewa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kwamba marehemu alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani kwake Dodoma.
Ameongeza kuwa nyumbani kwa marehemu ni eneo la Chaduru jirani na jengo jipya la Hoteli ya Shabiby barabara...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA JIMBO LA GEITA, DONALD MAX AFARIKI DUNIA

MBUNGE wa Jimbo la Geita, Donald Max amefariki dunia leo jioni akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Katibu wa Bunge, Thomas Kashilila amethibitisha taarifa za kifo hicho na kuongeza kuwa taarifa zaidi zitatolewa kesho Juni 24, 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani