Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE WA JIMBO LA GEITA, DONALD MAX AFARIKI DUNIA

MBUNGE wa Jimbo la Geita, Donald Max amefariki dunia leo jioni akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Katibu wa Bunge, Thomas Kashilila amethibitisha taarifa za kifo hicho na kuongeza kuwa taarifa zaidi zitatolewa kesho Juni 24, 2015.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

news alert: Mbunge wa Geita (CCM) Mhe. Donald Kevin Max afariki dunia

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Geita (CCM) Mheshimiwa Donald Kevin Max (58)(picha) amefariki dunia. Kufuatia taarifa iliyotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda (Mb) kwa Waheshimiwa Wabunge wote pamoja na umma kwa ujumla,  Mhe. Max amefariki dunia tarehe 23 Juni, 2015 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa hii, taarifa zaidi juu ya msiba huu zitaendelea kutolewa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA GEITA, DONALD MAX KUZIKWA JUMAMOSI

Donald Kevin Max (58) enzi za uhai wake. Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini (CCM), Donald Kevin Max (58) anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumamosi ya Juni 27, mwaka huu jijini Dar es Salaam. Marehemu Max enzi za uhai wake akiwa na Beno Malisa (kulia). Akitangaza taarifa za msiba huo, mapema leo asubuhi bungeni mjini Dodoma, Spika wa Bunge, Anne Makinda amesema wamepokea taarifa hizo kwa masikitiko, ambapo mbunge huyo alifariki jana...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA GEITA MAREHEMU DONALD KELVIN MAX VIWANJA VYA KARIMJEE, DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika  Jumamosi  kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es SalaamMama Salma  Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika  Jumamosi  kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge wa Geita afariki dunia Muhimbili

Mbunge wa Geita (CCM), Donald Max (58) amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Donald Max

Uliwaahidi wakazi wa Kijiji cha Nyantorotoro, Geita maji baada ya kuwaona wanateseka kwa kunywa maji ya chumvi na meupe kama maziwa, lakini mpaka leo bado wanateseka.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awajulia hali Mzee Hashim Mbita na Mbunge Donald Max

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mbunge wa Geita Donald Max aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni.Rais Kikwete akiwa hospitalini hapo alimjulia hali pia Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa hospitalini hapo(picha na Freddy Maro).

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA AFARIKI DUNIA BUNGE LAAHIRISHWA

Eugene Mwaiposa enzi za uhai wake.
MBUNGE wa Jimbo la Ukonga, Eugene Mwaiposa (CCM) amefariki dunia akiwa nyumbani kwake mkoani Dodoma leo baada ya kusumbuliwa na shinikizo la damu kwa muda mrefu.
Taarifa iliyotolewa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kwamba marehemu alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani kwake Dodoma.
Ameongeza kuwa nyumbani kwa marehemu ni eneo la Chaduru jirani na jengo jipya la Hoteli ya Shabiby barabara...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: MBUNGE WA JIMBO LA SUMVE RICHARD NDASA AFARIKI DUNIA

Spika wa Bunge, Job Ndugai amethibitisha kutokea kwa kifo cha Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndasa kilichotokea usiku wa kumkia leo jijini Dodoma. Spika Ndugai amehairisha shughuli za Bunge ikiwa ni kanuni za maombelezo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge afariki dunia

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepata pigo lingine kwa kuondokewa na Mbunge wa Chalinze (CCM), Said Bwanamdogo, ambaye amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani