Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Donald Max
Uliwaahidi wakazi wa Kijiji cha Nyantorotoro, Geita maji baada ya kuwaona wanateseka kwa kunywa maji ya chumvi na meupe kama maziwa, lakini mpaka leo bado wanateseka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Said Mtanda
Uliahidi ujenzi wa miundombinu ya huduma za kijamii, maji na barabara utekezaji wa ahadi hiyo ukoje?
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Said Barwani
Wakati unaomba ubunge ulituahidi kuwa tukikuchagua utahakikisha unasimamia sera ya afya na kwamba wanawake wajawazito wanapewa huduma, lakini hivi sasa wanalazimika kununua vifaa vya kuwasaidia kujifungua.
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Joseph Selasini
Uliahidi kuwa ungehakikisha soko la Holili linakamilika
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu: Suleiman Jafo
Kwanini Zahanati ya Kisanga haifunguliwi? Na wewe ulikuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunapata vifaa?
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu Mohammed Dewji
Nitawaagiza wataalamu kutoka ofisi ya mkurugenzi wa manispaa waje kutembelea kikundi chenu na kutoa ushauri na elimu ya ufugaji wa samaki kisasa, pamoja na kukisajili.
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Joseph Mbilinyi
Lini Jiji la Mbeya litapata barabara za njia mbili kupunguza msongamano?
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Mustapha Akunaay
Tangu niwe Mbunge wananchi wa jimbo la Mbulu wamejua haki zao za kikatiba na wamekuwa jasiri kutetea na kudai haki hizo.
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Joshua Nasari
Shamba la Madiira ni miongoni mwa mashamba 11 ambayo umiliki wake ulifutwa na Wizara ya Ardhi kwa agizo la Rais tangu mwaka 1999. Kwa sababu za uzembe na ufisadi mpaka sasa halijarudishwa kwa wananchi au halmashauri.
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Moses Machali
Wilaya ya Kasulu inakabiliwa na wimbi kubwa la uhalifu na kila wanapokamatwa hata kama kuna vithibitisho vya kutosha, wahalifu hao huachwa bila kuchukuliwa hatua za kisheria na hivyo kuzidi kwa vitendo vya uhalifu. Utafanya nini ili kukomesha tabia ya polisi kuwaachia watuhumiwa kienyeji?
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania