Maswali Kumi kwa Mbunge wangu: Suleiman Jafo
Kwanini Zahanati ya Kisanga haifunguliwi? Na wewe ulikuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunapata vifaa?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Abdulsalaam Suleiman Ameir
>Suala la mipaka katika Tarafa ya Mikumi tayari limepatiwa ufumbuzi kwa vikao vilivyofanyika kati ya mbunge, uongozi wa wilaya, kata na uongozi wa Tanapa (Mikumi National Park) kwa kuainisha mipaka na kuweka mawe. Sehemu ndogo iliyobaki maeneo ya Kitete nimeifikisha kwa Waziri wa Maliasili na Utalii na amethibitisha kuingiza kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha na litakamilika.
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Said Barwani
Wakati unaomba ubunge ulituahidi kuwa tukikuchagua utahakikisha unasimamia sera ya afya na kwamba wanawake wajawazito wanapewa huduma, lakini hivi sasa wanalazimika kununua vifaa vya kuwasaidia kujifungua.
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Said Mtanda
Uliahidi ujenzi wa miundombinu ya huduma za kijamii, maji na barabara utekezaji wa ahadi hiyo ukoje?
10 years ago
Vijimambo18 Nov
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Makongoro Mahanga
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2526114/highRes/878424/-/maxw/600/-/yngo5f/-/Makongoro.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Silvestry Koka
Uliahidi kutoa pikipiki moja kwa kila kata kwa vijana wa jimbo lako iwe mbegu ya kupata pikipiki nyingine, lakini mpaka sasa hujatekeleza, una mpango gani?
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Joseph Mbilinyi
Lini Jiji la Mbeya litapata barabara za njia mbili kupunguza msongamano?
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Joshua Nasari
Shamba la Madiira ni miongoni mwa mashamba 11 ambayo umiliki wake ulifutwa na Wizara ya Ardhi kwa agizo la Rais tangu mwaka 1999. Kwa sababu za uzembe na ufisadi mpaka sasa halijarudishwa kwa wananchi au halmashauri.
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Makongoro Mahanga
Barabara hasa kutoka Segerea Mwisho hadi Makaburini ambako ni nyumbani kwako ni mbovu, nataka unipe maelezo ya kina na yenye matumaini ya utekelezaji ili unishawishi kukupa kura yangu katika uchaguzi ujao.
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Joseph Selasini
Uliahidi kuwa ungehakikisha soko la Holili linakamilika
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania