Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Makongoro Mahanga

Makongoro Mahanga1. Shomari Kitogo, mkazi wa SegereaBarabara hasa kutoka Segerea Mwisho hadi Makaburini ambako ni nyumbani kwako ni mbovu, nataka unipe maelezo ya kina na yenye matumaini ya utekelezaji ili unishawishi kukupa kura yangu katika uchaguzi ujao.Jibu: Kuna miradi mingi ya barabara na madaraja iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) katika Kata ya Kinyerezi, barabara ya kutoka Segerea-Kinyerezi hadi Majumba Sita imekamilika kuboreshwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Makongoro Mahanga

Barabara hasa kutoka Segerea Mwisho hadi Makaburini ambako ni nyumbani kwako ni mbovu, nataka unipe maelezo ya kina na yenye matumaini ya utekelezaji ili unishawishi kukupa kura yangu katika uchaguzi ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Said Mtanda

Uliahidi ujenzi wa miundombinu ya huduma za kijamii, maji na barabara utekezaji wa ahadi hiyo ukoje?

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa mbunge wangu:Said Barwani

Wakati unaomba ubunge ulituahidi kuwa tukikuchagua utahakikisha unasimamia sera ya afya na kwamba wanawake wajawazito wanapewa huduma, lakini hivi sasa wanalazimika kununua vifaa vya kuwasaidia kujifungua.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Dk Emmanuel Nchimbi

Uliahidi kutasaidia mikopo kwa kina mama ili waweze kuanzisha miradi midogomidogo ya ufugaji, ufundi au utengenezaji batiki, Je, kwa nini hujatekeleza?

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Tundu Lissu

Umewaagiza wananchi wasichangie miradi yao ya maendeleo kwa madai Serikali ina fedha za kutosha za kugharamia, mbona hadi sasa hujahimiza Serikali ilete hizo fedha pamoja na za ujenzi wa maabara?

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Joseph Selasini

Uliahidi kuwa ungehakikisha soko la Holili linakamilika

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:January Makamba

Wakati unaomba kura ulituahidi ifikapo mwaka 2014, Mji wa Soni utakuwa hauna tena shida ya maji, lakini mpaka sasa tatizo liko palepale, bado wakazi wa Soni wanahangaika kupata maji. Je, una mkakati gani wa kutuletea maji wakazi wa Soni.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Gregory Teu

Uliahidi kuwa karibu na wananchi wako lakini hata ulipovuliwa unaibu waziri bado uko Dar je, ulitudanganya?

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Dk Faustine Ndugulile

Kwa nini hutembelei baadhi ya maeneo hasa nje ya Tandika, Temeke na Buza naomba ututembelee usisubiri hadi uchaguzi ufike kwani huku maeneo ya Kurasini kuna kero nyingi tunahitaji kukuona siyo hadi wakati wa kampeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani