MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Abdulsalaam Suleiman Ameir
>Suala la mipaka katika Tarafa ya Mikumi tayari limepatiwa ufumbuzi kwa vikao vilivyofanyika kati ya mbunge, uongozi wa wilaya, kata na uongozi wa Tanapa (Mikumi National Park) kwa kuainisha mipaka na kuweka mawe. Sehemu ndogo iliyobaki maeneo ya Kitete nimeifikisha kwa Waziri wa Maliasili na Utalii na amethibitisha kuingiza kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha na litakamilika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu: Suleiman Jafo
Kwanini Zahanati ya Kisanga haifunguliwi? Na wewe ulikuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunapata vifaa?
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Said Mtanda
Uliahidi ujenzi wa miundombinu ya huduma za kijamii, maji na barabara utekezaji wa ahadi hiyo ukoje?
10 years ago
Mwananchi10 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Dk Hamisi Kigwangalla
>Kufaidika: Nimekuwa mtetezi na sauti yenu siku zote. Kuhusu kuridhika, hilo ni gumu kidogo, maana ni uamuzi wa mtu, ila haya machache yafuatayo ndiyo niliyojitahidi kuyafuatilia na kuyasimamia.
10 years ago
Mwananchi12 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: STEPHEN MASELE
Kwa kuwa tulikuchagua kuwa mwakilishi wetu na kwa bahati nzuri ukachaguliwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (kabla ya kuhamishwa), kwa nini hujaunganisha umeme katika kata zilizopembezoni kidogo na mjini hata za vijijini?
10 years ago
Mwananchi19 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: OMARI NUNDU
Uliahidi kutupa mikopo kupitia mfuko wako wa Zindaba Fund, tukagharimia kupiga picha na mambo mengine ya maandalizi lakini hadi sasa hatusikii lolote. Unatuambiaje?
10 years ago
Mwananchi25 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: John Mnyika
>Ulituahidi kuondoa kero ya machinga kabla ya kupata kura yangu, leo hii tunaishi kama popo mitaani umefanya jitihada gani mpaka sasa?
10 years ago
Mwananchi24 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Deogratias Ntukamazina
>Uliahidi kuondoa kero ya wazee kulipia gharama za matibabu katika vituo vya kutolea huduma, hadi sasa wananchi bado wanataabika. Je, umefanya jitihada gani kuhakikisha wazee hao wanatibiwa bure katika hospitali ndani ya meneo yao?
10 years ago
Mwananchi17 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Halima Mdee
>Kuna michango ya fedha ambayo inaibuka mara kwa mara hasa katika kipindi hiki tunachoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, mfano tumechangishwa Sh 10,000 kwa ajili ya maabara, lakini juzi tena tumekuja kuchangishwa Sh 3,000 ambayo tutatakiwa kulipa kila mwezi kwa ajili ya ulinzi shirikishi hata kama una mlinzi unayemlipa, je, utatusaidiaje kudhibiti michango ya namna hiyo.
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Maswali 10 kwa Mbunge wangu-Saleh Pamba
Wakati wa kampeni za kuwania ubunge uliwaahidi wananchi kuwa wakikuchagua utafikisha umeme Kijiji cha Mkalamo, umefikia hatua gani?
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania