Mbunge wa Ukonga afariki dunia
MBUNGE wa jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa (CCM) amefariki dunia nyumbani kwake usiku wa kuamkia jana akiwa usingizini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Mbunge Ukonga afariki dunia
10 years ago
Mtanzania03 Jun
Mbunge wa Ukonga afariki dunia usingizini
NA ARODIA PETER, DODOMA
MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa (55), amefariki dunia usiku wa kuamkia jana mjini Dodoma akiwa usingizini.
Akitangaza msiba huo bungeni jana, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, alisema Mwaiposa alifariki dunia akiwa nyumbani kwake eneo la Chadulu mjini hapa.
Alisema kwa muda mrefu mbunge huyo aliyeingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, alikuwa na tatizo la shinikizo la damu.
Wabunge walikuwa wakiendelea kuchangia bajeti ya Wizara ya Afya na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70uEH2J4Zb3OPOrIs1ov5ED7STaDrOYdZPqJ*Z0TubmsPbWWW4c*WRwxF7qcalEJmxGNV7GsVaXBFVf8wvoZRlOc/BREAKING.gif)
MBUNGE WA UKONGA, EUGENE MWAIPOSA AFARIKI DUNIA
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA JIMBO LA UKONGA AFARIKI DUNIA BUNGE LAAHIRISHWA
![](http://api.ning.com/files/rWr07F5d70umBcBxylsvxnPfeJ6XW3aCsWsj4epKHXuWinWxskbuzfvxFz8dWiMx1nM7EvgtfRwQIwmpW8W2vaLVqoJ5-gSQ/mwaiposa.jpg)
MBUNGE wa Jimbo la Ukonga, Eugene Mwaiposa (CCM) amefariki dunia akiwa nyumbani kwake mkoani Dodoma leo baada ya kusumbuliwa na shinikizo la damu kwa muda mrefu.
Taarifa iliyotolewa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kwamba marehemu alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani kwake Dodoma.
Ameongeza kuwa nyumbani kwa marehemu ni eneo la Chaduru jirani na jengo jipya la Hoteli ya Shabiby barabara...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mjCUb-qEQpI/VW2inlnF2OI/AAAAAAAHbOk/Sj-gH18sfCc/s72-c/20150602051217.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ......: Mbunge wa Ukonga, Mh. Eugene Mwaiposa afariki dunia
![](http://3.bp.blogspot.com/-mjCUb-qEQpI/VW2inlnF2OI/AAAAAAAHbOk/Sj-gH18sfCc/s640/20150602051217.jpg)
TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu utaagwa kesho tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-HxhISKJPWSQ/XnhVh-qVk9I/AAAAAAACJJA/aycwqgshgWkhQddyENKGi5IdNFxXpmsigCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200323_091307_393.jpg)
MBUNGE WA ZAMANI WA UKONGA DK. MAKONGORO MAHANGA AMEFARIKI DUNIA
![](https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/mahanga.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-HxhISKJPWSQ/XnhVh-qVk9I/AAAAAAACJJA/aycwqgshgWkhQddyENKGi5IdNFxXpmsigCLcBGAsYHQ/s200/IMG_20200323_091307_393.jpg)
Katibu wa Chadema Mkoa wa kichama hicho wa Ilala, Jerome Olomi amethibitisha na kusema Dk. Makongoro ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa huo wa Kichama Jijini Dar es Salaam, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Machi 23, 202
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-i-SYeenlO3Y/VmeITSy3biI/AAAAAAAAXYU/MgRAjhqnvv0/s72-c/FB_IMG_1449624581069.jpg)
MBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA UKONGA MH. MWITA WAITARA AFANYA UKARABATI WA BARABARA JIMBONI UKONGA
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Mbunge afariki dunia
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Mbunge afariki dunia Dodoma