MBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA UKONGA MH. MWITA WAITARA AFANYA UKARABATI WA BARABARA JIMBONI UKONGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-i-SYeenlO3Y/VmeITSy3biI/AAAAAAAAXYU/MgRAjhqnvv0/s72-c/FB_IMG_1449624581069.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Ukonga mh Mwita Waitara akiwa kwenye ziara ya kukagua ukarabati wa barabara za Jimbo lake la Ukonga. Mpaka sasa barabara za mitaa katika Kata tano ambazo ni Msongola, Kivule, Gongolamboto, Majohe na Zingiziwa zimeshafanyiwa marekebisho. Kazi itaendelea kwa kata zingine nane zilizobaki. Kazi Hii inafanyika kwa msaada wa Mbunge wa Ukonga.
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV16 Dec
Mbunge wa Ukonga Waitara Mwita kuzishughulikia Kero Za Wananchi
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Waitara Mwita amewahakikishia wakazi wa jimbo hilo kuendelea kutatua kero zinazowakabili ikiwemo miundombinu ya barabara ambayo inachangia kurudisha nyuma maendeleo ya jimbo hilo.
Amesema ataendelea kutafuta njia mbalimbali za kumaliza changamoto katika jimbo la Ukonga kwa kuboresha huduma za kijamii na kiuchumi ili kuwawezesha wananchi kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umaskini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwashukuru wakazi hao wa kata ya Gongolamboto...
5 years ago
CCM BlogWAITARA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI KITUNDA- MWEMBENI, KIVULE UKONGA.
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA JIMBO LA UKONGA AFARIKI DUNIA BUNGE LAAHIRISHWA
![](http://api.ning.com/files/rWr07F5d70umBcBxylsvxnPfeJ6XW3aCsWsj4epKHXuWinWxskbuzfvxFz8dWiMx1nM7EvgtfRwQIwmpW8W2vaLVqoJ5-gSQ/mwaiposa.jpg)
MBUNGE wa Jimbo la Ukonga, Eugene Mwaiposa (CCM) amefariki dunia akiwa nyumbani kwake mkoani Dodoma leo baada ya kusumbuliwa na shinikizo la damu kwa muda mrefu.
Taarifa iliyotolewa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kwamba marehemu alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani kwake Dodoma.
Ameongeza kuwa nyumbani kwa marehemu ni eneo la Chaduru jirani na jengo jipya la Hoteli ya Shabiby barabara...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hNASja-In2k/VXM4QqUXjZI/AAAAAAAHcjs/4ULuWbjPkXw/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KWENYE MAZISHI YA MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA MAREHEMU EUGENE MWAIPOSA
![](http://1.bp.blogspot.com/-hNASja-In2k/VXM4QqUXjZI/AAAAAAAHcjs/4ULuWbjPkXw/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ch86ifrPdM8/VXM4Q0qECfI/AAAAAAAHcjw/nxYc-Cyn_qY/s640/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
11 years ago
MichuziMbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akabidhi kombe kwa washindi wa shindano la Airtel Rising Stars
Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha...
5 years ago
CCM BlogWAITARA AWATAKA WAKANDARASI KUKAMILISHA HARAKA UJENZI WA MADARAJA YA ULONGONI A NA B UKONGA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cntZ0jIN0hM/VnxSVnD0VGI/AAAAAAAIOXk/a9Ku7zYVaME/s72-c/024184cd-fd7b-41ea-872a-433f39034e32.jpg)
MWILI WA AFISA WA GEREZA KUU UKONGA WAAGWA LEO UKONGA JIJINI, DAR ESALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-cntZ0jIN0hM/VnxSVnD0VGI/AAAAAAAIOXk/a9Ku7zYVaME/s640/024184cd-fd7b-41ea-872a-433f39034e32.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-c4mQdLq5ZQg/VnxSWCQq_9I/AAAAAAAIOXo/HePqOLOapu4/s640/caff93af-2ef9-4110-96b2-99e768d92205.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-rMsPm-3DfGY/VnxSWRWYZtI/AAAAAAAIOXs/VH2OCec3JOE/s640/ee8ea79c-e8c3-4bf4-8448-a7aff91f1929.jpg)
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Vikumbo vyaanza jimbo la Ukonga
Na Humphrey Shao, Dar es Salaam
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kitengo cha kompyuta, Anthony Karokola, ametangaza nia yake ya kugombea ubunge Ukonga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) .
Aliwaambia waandishi wa habari ni kwa jinsi gani anavyosukumwa na maendeleo ya wana Ukonga na kutaka kuendeleza alipoishia marehemu Eugine Mwaiposa.
“Nitamuenzi mama Mwaiposa kwa kufuata nyayo zake na kufuata mazuri yote aliyoyafanya na aliyotaka kuyafanya nitayatekeleza,” alisema Karokola.
Alisema...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Mbunge wa Ukonga afariki dunia
MBUNGE wa jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa (CCM) amefariki dunia nyumbani kwake usiku wa kuamkia jana akiwa usingizini.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10