WAITARA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI KITUNDA- MWEMBENI, KIVULE UKONGA.
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara akikagua sehemu ya barabara Km 3.2 iliyojengwa kwa lami kutoka Kitunda hafi Mwembeni katika Barabara ya Banana hadi Kivule, Jimbo la Ukonga Dar es Salaam. Barabara hiyo inayojengwa na Kampuni ya Nyanza itapunguza adha ya usafiri kwa wakazi wa Kitunda, Kivule na Msongola. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR
11 years ago
GPLMEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa wa Kwanza kushoto akiwa na Mhandisi wa Barabara(mwenye shati Jeusi) pamoja na Diwani wa ukonga Elizabeth Mbano(katikati) na wa kwanza Kulia ni Mhandisi wa Manispaa Bwana Muhinda Kassimu wakitazama maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara kutoka ukonga-mazizini mpaka moshi bar.… ...
9 years ago
CHADEMA Blog
MBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA UKONGA MH. MWITA WAITARA AFANYA UKARABATI WA BARABARA JIMBONI UKONGA
Mbunge wa Jimbo la Ukonga mh Mwita Waitara akiwa kwenye ziara ya kukagua ukarabati wa barabara za Jimbo lake la Ukonga. Mpaka sasa barabara za mitaa katika Kata tano ambazo ni Msongola, Kivule, Gongolamboto, Majohe na Zingiziwa zimeshafanyiwa marekebisho. Kazi itaendelea kwa kata zingine nane zilizobaki. Kazi Hii inafanyika kwa msaada wa Mbunge wa Ukonga.
5 years ago
CCM BlogWAITARA AWATAKA WAKANDARASI KUKAMILISHA HARAKA UJENZI WA MADARAJA YA ULONGONI A NA B UKONGA
10 years ago
Michuzi
UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...


10 years ago
Michuzi
WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA TENGERU-SAKINA (KM 14.1) ITAKAYOJENGWA KWA NJIA NNE MKOANI ARUSHA


11 years ago
Michuzi.jpg)
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
WARIZI WA UJENZI AKAGUA BARABARA MBEYA NA RUKWA

10 years ago
VijimamboWaziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Azindua barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania