Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...

Barabara ya Tunduma-Ikana-Laela hadi Sumbawanga ikiwa imekamilika kwa asilimia mia moja (100%), barabara hii ambayo ni kiungo muhimu cha Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Kigoma na Tabora imejegwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na Msaada kutoka kwa watu wa Marekani.Waziri wa Wizara ya Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mjini Sumbawanga tarehe 02/02/2015 katika viwanja vya Nelson Mandela akiwa ziarani Mkoani Rukwa kukagua ujenzi unaoendelea wa barabara za lami za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Ujenzi aanza ziara ya Ukaguzi wa barabara mikoani ya Rukwa na Katavi

Mamia ya wakazi wa Tunduma wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mara baada ya kumsimamisha alipokuwa njiani kuelekea mkoani Rukwa kwa ajili ya Ukaguzi wa barabara za mkoa huo.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwahutubia wananchi hao wa Tunduma.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiagana na wananchi wa Tunduma mara baada ya kuwahutubia na kuwaahidi ujenzi wa barabara ya Tunduma mjini kwa njia nne ili kupunguza kero ya msongamano wa malori katika eneo hilo.
BOFYA HAPA KWA...

 

11 years ago

GPL

KINANA AHITIMISHA ZIARA YA SIKU 21 YA MIKOA YA RUKWA,KIGOMA NA KATAVI‏

 Waendesha bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuelekea kwenye mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda leo asubuhi wakati wa kuhitimisha ziara ya siku 21ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya CCM katika mikoa ya Rukwa,Kigoma na Katavi.…
...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YAANZA HATUA ZA KUTAMBUA KAYA MASIKINJI KATIKA MIKOA YA DODOMA,SINGIDA,KIGOMA,RUKWA NA KATAVI.

 Mtaalamu kutoka TASAF Makao makuu Bi. Mercy Mandao Mariki mwenye miwani na kompyuta mpakato akiandika baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye mafunzo ya wawezeshaji ngazi ya wilaya mjini Dodoma.  Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya namna ya kuendesha kazi yautambuzi wa kaya masikini ngazi ya halmashauri ya wilaya wakimsikiliza mtoa mada hayupo pichani katika ukumbi wa shule ya sekondari ya Dodoma.  Mtoa mada katika mafunzo ya wawezeshaji ngazi ya Wilaya, Bw. Andrew Kibona akitoa mada kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU 21 MIKOA YA RUKWA,KIGOMA NA KATAVI LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Kashaulili, mjini Mpanda leo, baada ya kuhitimisha ziara ya siku 21ya kikazi ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM katika mikoa ya Rukwa, Kigoma na Katavi. Baadhi ya Wanachama wa CCM na wananchi wakishangilia jambo wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndug Kinana alipokuwa akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda jioni ya leo kwenye mkutano wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WARIZI WA UJENZI AKAGUA BARABARA MBEYA NA RUKWA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wakazi wa mji wa Tunduma mkoani Mbeya kuwa Serikali itajenga barabara ya njia nne katika mji huo ili kupunguza msongamano wa magari na kuuwezesha mji huo kuwa wa kisasa na kibiashara.Amesema hayo katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya barabara inayoendelea katika mikoa ya Mbeya na Rukwa ambapo akiwa mjini Tunduma amekutana na wananchi wanaofanyabiashara katika mji huo.“Dumisheni umoja,amani na mshikamano ili mfanye biashara zenu na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI NDALICHAKO AAHIDI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WABUNGE UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI WASICHANA JIJINI DODOMA.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kuunga mkono juhudi za wabunge katika ujenzi wa shule maalum ya Sekondari ya wasichana inayojengwa katika Kata ya Kikombo wilayani Chamwino, Mkoani Dodoma na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Profesa Ndalichako ametoa ahadi hiyo alipotembelea shule hiyo akiongozana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ili kujionea maendeleo ya ujenzi huo ambapo amesema Wizara itatoa mchango...

 

9 years ago

Habarileo

Zitto aahidi barabara za lami Kigoma

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kama wananchi wakiwachagua wagombea wa ubunge katika majimbo manane wa mkoa wa Kigoma kutoka chama hicho, watahakikisha barabara kutoka mji wa Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 340 inajengwa kwa kiwango cha lami.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani