Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Ujenzi aanza ziara ya Ukaguzi wa barabara mikoani ya Rukwa na Katavi

Mamia ya wakazi wa Tunduma wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mara baada ya kumsimamisha alipokuwa njiani kuelekea mkoani Rukwa kwa ajili ya Ukaguzi wa barabara za mkoa huo.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwahutubia wananchi hao wa Tunduma.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiagana na wananchi wa Tunduma mara baada ya kuwahutubia na kuwaahidi ujenzi wa barabara ya Tunduma mjini kwa njia nne ili kupunguza kero ya msongamano wa malori katika eneo hilo.
BOFYA HAPA KWA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...

Barabara ya Tunduma-Ikana-Laela hadi Sumbawanga ikiwa imekamilika kwa asilimia mia moja (100%), barabara hii ambayo ni kiungo muhimu cha Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Kigoma na Tabora imejegwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na Msaada kutoka kwa watu wa Marekani.Waziri wa Wizara ya Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mjini Sumbawanga tarehe 02/02/2015 katika viwanja vya Nelson Mandela akiwa ziarani Mkoani Rukwa kukagua ujenzi unaoendelea wa barabara za lami za...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA OFISI YA BODI YA MFUKO WA BARABARA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani ameitaka Bodi ya Mfuko wa Barabara kutotuma fedha za ujenzi wa barabara kwa halmashauri yoyote nchini ambayo imetumia fedha walizopelekewa kinyume na malengo yaliyokusudiwa. Na amemwagiza Meneja wa Bodi ya Mfuko wa Barabara kuzichukulia hatua halmashauri zote ambazo zimetumia fedha hizo tofauti na malengo yake ikiwa ni pamoja na kutopelekewa fedha mpaka hapo watakapozijeresha fedha walizozitumia. “Ongezeni nguvu zaidi katika...

 

10 years ago

GPL

MH. LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI RUKWA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Injinia Stella Manyanya alipowasili uwanja wa ndege wa Sumbawanga kuanza ziara ya kutatua migogoro ya ardhi Mkoani humo. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akimpokea Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi alipowasili eneo la Jangwani mjini Sumbawanga kuweka...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa aanza ziara za kukagua miradi Mikoani

 Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akipewa maelezo ya mradi wa nyumba za kuuza za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli na Msimamizi wa mradi huo Bw. Hassan Bendera. Hii ni sehemu ya nyumba za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli kama sehemu ya juhudi za Shirika hilo za kuwezesha wananchi wengi kumiliki nyumba. Nyumba hizi zinajengwa na NHC katika maeneo mbalimbali nchini.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

KINANA AHITIMISHA ZIARA YA SIKU 21 YA MIKOA YA RUKWA,KIGOMA NA KATAVI‏

 Waendesha bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuelekea kwenye mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda leo asubuhi wakati wa kuhitimisha ziara ya siku 21ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya CCM katika mikoa ya Rukwa,Kigoma na Katavi.…
...

 

10 years ago

Dewji Blog

William Lukuvi aanza ziara mkoani Rukwa

1

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Injinia Stella Manyanya alipowasili uwanja wa ndege wa Sumbawanga kuanza ziara ya kutatua migogoro ya ardhi Mkoani humo.

New Picture (7)

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akimpokea Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi alipowasili eneo la Jangwani mjini Sumbawanga kuweka jiwe la msingi katika nyumba za makazi zinazojengwa na NHC kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU AANZA KUSAKA WADHAMINI KATAVI




Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda ameanza safari ya kusaka wadhamini kwa kuzuru Mkoa wa Katavi.

Waziri Mkuu Pinda ambaye aliwasili Mpanda jana jioni (Jumapili, Juni 14, 2015), alipokelewa na maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda ambao waliamua kumsindikiza kwa mchakachaka na bodaboda kutoka uwanja wa ndege hadi nyumbani kwake, Makanyagio.
Hadi mchana huu amekwishapata wadhamini 4,243 kwa kuzuru vituo...

 

10 years ago

Vijimambo

WARIZI WA UJENZI AKAGUA BARABARA MBEYA NA RUKWA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wakazi wa mji wa Tunduma mkoani Mbeya kuwa Serikali itajenga barabara ya njia nne katika mji huo ili kupunguza msongamano wa magari na kuuwezesha mji huo kuwa wa kisasa na kibiashara.Amesema hayo katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya barabara inayoendelea katika mikoa ya Mbeya na Rukwa ambapo akiwa mjini Tunduma amekutana na wananchi wanaofanyabiashara katika mji huo.“Dumisheni umoja,amani na mshikamano ili mfanye biashara zenu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani