Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA AHITIMISHA ZIARA YA SIKU 21 YA MIKOA YA RUKWA,KIGOMA NA KATAVI‏

 Waendesha bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuelekea kwenye mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda leo asubuhi wakati wa kuhitimisha ziara ya siku 21ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya CCM katika mikoa ya Rukwa,Kigoma na Katavi.…
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU 21 MIKOA YA RUKWA,KIGOMA NA KATAVI LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Kashaulili, mjini Mpanda leo, baada ya kuhitimisha ziara ya siku 21ya kikazi ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM katika mikoa ya Rukwa, Kigoma na Katavi. Baadhi ya Wanachama wa CCM na wananchi wakishangilia jambo wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndug Kinana alipokuwa akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda jioni ya leo kwenye mkutano wa...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...

Barabara ya Tunduma-Ikana-Laela hadi Sumbawanga ikiwa imekamilika kwa asilimia mia moja (100%), barabara hii ambayo ni kiungo muhimu cha Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Kigoma na Tabora imejegwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na Msaada kutoka kwa watu wa Marekani.Waziri wa Wizara ya Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mjini Sumbawanga tarehe 02/02/2015 katika viwanja vya Nelson Mandela akiwa ziarani Mkoani Rukwa kukagua ujenzi unaoendelea wa barabara za lami za...

 

11 years ago

GPL

KINANA ATINGA KIGOMA KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO‏

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma jioni hii akitokea Rwanda, tayari kuendelea na ziara ya siku tano katika Mkoa wa Kigoma, kwa ajili ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayoyekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.
 Kinana akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Walidi Kaburu baada ya kuwasili kwenye… ...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YAANZA HATUA ZA KUTAMBUA KAYA MASIKINJI KATIKA MIKOA YA DODOMA,SINGIDA,KIGOMA,RUKWA NA KATAVI.

 Mtaalamu kutoka TASAF Makao makuu Bi. Mercy Mandao Mariki mwenye miwani na kompyuta mpakato akiandika baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye mafunzo ya wawezeshaji ngazi ya wilaya mjini Dodoma.  Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya namna ya kuendesha kazi yautambuzi wa kaya masikini ngazi ya halmashauri ya wilaya wakimsikiliza mtoa mada hayupo pichani katika ukumbi wa shule ya sekondari ya Dodoma.  Mtoa mada katika mafunzo ya wawezeshaji ngazi ya Wilaya, Bw. Andrew Kibona akitoa mada kwenye...

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWASILI MKOANI RUKWA LEO TAYARI KWA KUANZA ZIARA YAKE YA SIKU 21‏


Baadhi ya Wananchi na wanachama mbalimbali wakisubiri kumpokea katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege mjini Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo asubuhi.
Ndege iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ikiwasili katika uwanja wa ndege mjini Sumbawanga,mkoani Rukwa mchana huu.…

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAENDESHA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA KAMATI ZA MAADILI ZA MIKOA YA RUKWA KATAVI

Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga Jaji Kakusulo Sambo akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo mapema leo tarehe 12 Februari 2015. Mafunzo hayo ya siku mbili yanayoshirikisha Mikoa ya Rukwa na Katavi yanafanyika Mkoani Rukwa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Ibrahim Msengi. Jaji wa Mhakama Kuu ambae pia ni Mkuu wa Chuo cha Mahakama Lushoto Jaji Ferdinand Wambali akiendesha mafunzo hayo ambayo yameanza leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani