Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAENDESHA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA KAMATI ZA MAADILI ZA MIKOA YA RUKWA KATAVI

Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga Jaji Kakusulo Sambo akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo mapema leo tarehe 12 Februari 2015. Mafunzo hayo ya siku mbili yanayoshirikisha Mikoa ya Rukwa na Katavi yanafanyika Mkoani Rukwa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Ibrahim Msengi. Jaji wa Mhakama Kuu ambae pia ni Mkuu wa Chuo cha Mahakama Lushoto Jaji Ferdinand Wambali akiendesha mafunzo hayo ambayo yameanza leo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

EWURA YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WA MAFUTA MIKOA YA RUKWA NA KATAVI MJINI SUMBAWANGA

Meneja Ufundi Idara ya Petroli EWURA Ndugu Gerald Maganga akiwasilisha moja ya mada katika Semina kwa Wafanyabiashara wa Mafuta Mikoa ya Rukwa na Katavi katika ukumbi wa Moravian Centre Mjini Sumbawanga tarehe 15 April 2015. Kushoto ni Afisa Uhusiano EWURA Ndugu Wilfred Edwin. Miongoni mwa mada zilizowasilishwa katika Semina hiyo ni Udhibiti na Kanuni za Ukokotoaji wa bei za Mafuta, Ubora wa Miundimbinu, Usalama na Utunzaji wa Mazingira katika Sekta ya Mafuta ya Petroli, Faida za kutumia...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA KAMATI ZA MAADILI ZA MAHAKAMA ZA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA YAHITIMISHWA MJINI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Chiku Gallawa akisisitiza kamati za maadili za mahakama za mikoa ya Dodoma na Singida kusaidia kupunguza malalamiko ya wananchi juu ya masuala ya kimahakama wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya kamati hizo mjini Dodoma Feb. 10, 2015. Wajumbe wa Kamati za Maadili za Mahakama za Mikoa ya Dodoma na Singida wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa kamati hizo Mjini Dodoma Feb. 10, 2015.

 

11 years ago

GPL

KINANA AHITIMISHA ZIARA YA SIKU 21 YA MIKOA YA RUKWA,KIGOMA NA KATAVI‏

 Waendesha bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuelekea kwenye mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda leo asubuhi wakati wa kuhitimisha ziara ya siku 21ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya CCM katika mikoa ya Rukwa,Kigoma na Katavi.…
...

 

11 years ago

Michuzi

UJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YA UGANDA WATEMBELEA TUME YA UTUMISHI YA MAHAKAMA YA TANZANIA

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania akibadilishana mawazo na Viongozi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Uganda mapema Leo a alipotembelea ofisini kwa Mhe. Jaji Mkuu, wa pili kulia ni Mhe. Jaji James Ogoola, Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama wa Uganda, wa tatu kulia ni Mhe. Jaji Dk. Esther Kisaakye ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Uganda, wa kwanza kushoto ni Mhe. Jaji...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU 21 MIKOA YA RUKWA,KIGOMA NA KATAVI LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Kashaulili, mjini Mpanda leo, baada ya kuhitimisha ziara ya siku 21ya kikazi ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM katika mikoa ya Rukwa, Kigoma na Katavi. Baadhi ya Wanachama wa CCM na wananchi wakishangilia jambo wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndug Kinana alipokuwa akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda jioni ya leo kwenye mkutano wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

YMC yaendesha mafunzo ya siku mbili ya utafiti wa taaluma shule za msingi Manispaa ya Singida

IMG_0313

Mratbu wa shirika la Uwezo mkoa wa Singida, Nason W.Nason, akitoa nasaha zake kwenye mafunzo yaliyohusu kufanywa kwa utafiti juu ya taaluma shule za msingi manispaa ya Singida.Wa pili kulia ni Kaimu Afisa Elimu shule za msingi manispaa ya Singida, Samwel Mwaikenda na (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi wa YMC mkoa wa Singida, Fidelis Yunde.

IMG_0322

Kaimu Afisa Elimu manispaa ya Singida, Samwel Mwaikenda, akizungumza kwenye ufungaji wa mafunzo ya namna bora ya kufanya utafiti wa taaluma katika shule za...

 

11 years ago

Michuzi

CBE YAENDESHA MAFUNZO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA 72 KUTOKA MIKOA MBALIMBALI JIJINI DAR

 Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller akielezea jambo wakati akifunga mafunzo ya awali ya IT kwa watumishi wa huduma za (MKOBA) wa uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania.hafla hiyo ya ufungaji mafunzo ilifanyika 2 Agositi 2014 katika chuo cha C B E jijini Dar es Salaam.Pichani kulia ni Mhadhiri Msaidizi (ICT), Godfrey Mwandosya, Mkuu wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.Alex Mwijika, Kaimu Mkuu wa Idara Mathematics (ICT), Nzomwe Mazana.Mafunzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani