Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EWURA YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WA MAFUTA MIKOA YA RUKWA NA KATAVI MJINI SUMBAWANGA

Meneja Ufundi Idara ya Petroli EWURA Ndugu Gerald Maganga akiwasilisha moja ya mada katika Semina kwa Wafanyabiashara wa Mafuta Mikoa ya Rukwa na Katavi katika ukumbi wa Moravian Centre Mjini Sumbawanga tarehe 15 April 2015. Kushoto ni Afisa Uhusiano EWURA Ndugu Wilfred Edwin. Miongoni mwa mada zilizowasilishwa katika Semina hiyo ni Udhibiti na Kanuni za Ukokotoaji wa bei za Mafuta, Ubora wa Miundimbinu, Usalama na Utunzaji wa Mazingira katika Sekta ya Mafuta ya Petroli, Faida za kutumia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAENDESHA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA KAMATI ZA MAADILI ZA MIKOA YA RUKWA KATAVI

Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga Jaji Kakusulo Sambo akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo mapema leo tarehe 12 Februari 2015. Mafunzo hayo ya siku mbili yanayoshirikisha Mikoa ya Rukwa na Katavi yanafanyika Mkoani Rukwa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Ibrahim Msengi. Jaji wa Mhakama Kuu ambae pia ni Mkuu wa Chuo cha Mahakama Lushoto Jaji Ferdinand Wambali akiendesha mafunzo hayo ambayo yameanza leo...

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA

Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyofanyika siku ya jana, kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa gharama kubwa...

 

11 years ago

Michuzi

TPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA KATIKA HOTELI YA OCEANIC BAY $ RESORT, BAGAMOYO LEO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile (kulia), akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu uchimbaji wa gesi na mafuta. Kutoka kushoto ni Rais wa Umoja wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje na Mkurugenzi mstaafu wa TPDC, Yona Killagane.Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TPDC, Dk.Wellington Hudson, akitoa mada katika semina hiyo.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...

Barabara ya Tunduma-Ikana-Laela hadi Sumbawanga ikiwa imekamilika kwa asilimia mia moja (100%), barabara hii ambayo ni kiungo muhimu cha Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Kigoma na Tabora imejegwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na Msaada kutoka kwa watu wa Marekani.Waziri wa Wizara ya Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mjini Sumbawanga tarehe 02/02/2015 katika viwanja vya Nelson Mandela akiwa ziarani Mkoani Rukwa kukagua ujenzi unaoendelea wa barabara za lami za...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI LA RUKWA

 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Katavi, Mselem Said Abdallah (shati la kitenge) akizungumza machache wakati wa kumkaribisha, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa, wakati alipofika kwenye ofisi za Chama hicho, Mpanda, Mkoani Katavi leo Juni 14, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Baadhi ya wananchi wa Mji wa Mpanda wakionekana ni wenye furaha nyingi pindi walipomuona Mh. Edward Lowassa akipita kwenye maeneo yao wakati akielekea...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI, RUKWA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa akiwapungia wananchi wa mji wa Mpanda, Mkoani Katavi waliojitokeza kumlaki, wakati alipofika kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Mpanda, Mkoani Katavi, alikofika jana Juni 14, 2015 kwa ajili ya kutafuta udhamini wa wanaCCM ili apate ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchachuzi Mkuu, Unaotarajiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani