Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA

Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyofanyika siku ya jana, kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa gharama kubwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA VIJANA WA KITANZANIA YA (CHINA WORD BUZ) KUWAKOMBOA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI‏

Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kwasili akitokea nchini China na ujumbe wa wafanya biashara wenzake, kushoto ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz nchini China Bwana Cheng Wang Wu na kulia ni Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande.… ...

 

11 years ago

GPL

CHINA WORD BUZ YAELEZEA NJIA MBADALA ZITAKAZOPUNGUZA GHARAMA ZA WAFANYABIASHARA WADOGO KUFUATA BIDHAA CHINA‏

Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande akionyesha kipeperushi kinachoelezea moja ya makampuni makubwa ya bishara ambayo yamesaini mikataba ya kibiashara na kampuni ya China World Buz, katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na wa pili kutoka kushoto...

 

10 years ago

Michuzi

EWURA YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WA MAFUTA MIKOA YA RUKWA NA KATAVI MJINI SUMBAWANGA

Meneja Ufundi Idara ya Petroli EWURA Ndugu Gerald Maganga akiwasilisha moja ya mada katika Semina kwa Wafanyabiashara wa Mafuta Mikoa ya Rukwa na Katavi katika ukumbi wa Moravian Centre Mjini Sumbawanga tarehe 15 April 2015. Kushoto ni Afisa Uhusiano EWURA Ndugu Wilfred Edwin. Miongoni mwa mada zilizowasilishwa katika Semina hiyo ni Udhibiti na Kanuni za Ukokotoaji wa bei za Mafuta, Ubora wa Miundimbinu, Usalama na Utunzaji wa Mazingira katika Sekta ya Mafuta ya Petroli, Faida za kutumia...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA East Africa Unique Co.LTD KUENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Kampuni ya East Africa Unique Co.LTD imeandaa semina itakayo anza mwezi April mwaka huu kwa wafanyabiashara juu ya kuwajengea uwezo wenye miradi itakayo kuwa na uaminifu na kujituma kulingana na uwezo pamoja na ukomo wao.
Akizungumza leo na Waandishi wa Habari,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo,Rodgers Mbaga amesema Kampuni hiyo ambayo inashughulika na ushauri,mawasiliano ya masoko imebuni na kupanga Maonyesho ya Kukuza Uwekezaji-TIPEC kwa lengo la kuweka...

 

11 years ago

Dewji Blog

VETA yaendesha semina kwa wabunge wa kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma za jamii juu ya mradi wa kuongeza sifa za kuajiriwa — EEVT jijini Dar

Mh Jenista Mhagama (Kushoto) akiongea na baadhi ya wabunge kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii na baadhi ya wafanyakazi wa VETA kutoka Makao Makuu na VETA Kanda ya Kusini wakati wa semina iliyoandaliwa na VETA   Kwaajili ya wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii juu ya mradi wa Kuongeza sifa za kuajiliwa – EEVT iliyofanyika katika Ukumbi wa Benki wa Kuu ya Tanzania, Jijini Dar Es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh Magreth Sitta na Kulia ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani