Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFUNZO YA KAMATI ZA MAADILI ZA MAHAKAMA ZA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA YAHITIMISHWA MJINI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Chiku Gallawa akisisitiza kamati za maadili za mahakama za mikoa ya Dodoma na Singida kusaidia kupunguza malalamiko ya wananchi juu ya masuala ya kimahakama wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya kamati hizo mjini Dodoma Feb. 10, 2015. Wajumbe wa Kamati za Maadili za Mahakama za Mikoa ya Dodoma na Singida wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa kamati hizo Mjini Dodoma Feb. 10, 2015.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAENDESHA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA KAMATI ZA MAADILI ZA MIKOA YA RUKWA KATAVI

Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga Jaji Kakusulo Sambo akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo mapema leo tarehe 12 Februari 2015. Mafunzo hayo ya siku mbili yanayoshirikisha Mikoa ya Rukwa na Katavi yanafanyika Mkoani Rukwa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Ibrahim Msengi. Jaji wa Mhakama Kuu ambae pia ni Mkuu wa Chuo cha Mahakama Lushoto Jaji Ferdinand Wambali akiendesha mafunzo hayo ambayo yameanza leo...

 

11 years ago

GPL

MEMBE NAYE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM MJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

SEMA Singida kutumia Milioni 80 kuwapiga msasa waratibu wa elimu mikoa ya Singida na Dodoma

DSC04523

Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba, akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za maji, elimu na usafi wa mazingira shuleni yaliyohudhuriwa na waratibu kata na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida. Kulia ni Meneja wa SEMA, Ivo  Manyanku na Kushoto ni mwenyekiti wa mafunzo hayo.

DSC04526

Baadhi ya waratibu na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida,waliohudhuria  mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za...

 

10 years ago

GPL

UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATATU WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM DODOMA LEO


 Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye akiwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma tayari kwa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili.  Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowasa akizungumza na Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye kabla ya kuanza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma.  Ndugu William Ngeleja akisubiri kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama.  Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward...

 

10 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAFANYA KIKAO KAZI KWA VIDEO CONFERENCE NA MIKOA YA SINGIDA,ARUSHA NA DODOMA

Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kulia) akifungua kikao kazi kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference)kilichojumuisha Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema leo. Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kulia) akifuatilia mada wakati wa kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema leo.

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAENDELEA NA ZOEZI LA KUTOA ELIMU KWA WADAU WA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA

Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina (kushoto) akimkabidhi rasmi kadi ya uanachama, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mh. Chiku Gallawa mara tu baada ya kujiunga na Mfuko huo akionyesha ni jinsi gani Mfuko umejipanga vyema kuwahudumia wanachama wake kwa wakati. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh Chiku Galawa akijaza fomu na kujiunga rasmi na Mpango wa hiari wa kujiwekea akiba ulianzishwa na GEPF (VSRS) akishuhudiwa na meneja wa GEPF mkoa wa Dodoma Bw Josephat Mshana.Meneja Masoko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani