Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEMBE NAYE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM MJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MH. MEMBE PIA AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM mjini Dodoma leo Februari 16,2014. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA KAMATI ZA MAADILI ZA MAHAKAMA ZA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA YAHITIMISHWA MJINI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Chiku Gallawa akisisitiza kamati za maadili za mahakama za mikoa ya Dodoma na Singida kusaidia kupunguza malalamiko ya wananchi juu ya masuala ya kimahakama wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya kamati hizo mjini Dodoma Feb. 10, 2015. Wajumbe wa Kamati za Maadili za Mahakama za Mikoa ya Dodoma na Singida wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa kamati hizo Mjini Dodoma Feb. 10, 2015.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATATU WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM DODOMA LEO


 Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye akiwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma tayari kwa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili.  Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowasa akizungumza na Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye kabla ya kuanza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma.  Ndugu William Ngeleja akisubiri kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama.  Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI KUU YA CCM LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo Agosti, 11, 2015 katika ukumbi wa Jengo la White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.  Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo Agosti, 11, 2015 katika ukumbi wa Jengo la White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.  Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani