KAMATI KUU YA CCM LEO MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo Agosti, 11, 2015 katika ukumbi wa Jengo la White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo Agosti, 11, 2015 katika ukumbi wa Jengo la White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogDK. MAGUFULI NA DK. SHEIN WATETA KABLA YA KUANZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, IKULU YA CHAMEINO MJINI DODOMA, LEO
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kufanyika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, leo.
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI
10 years ago
GPLKIKAO CHA KAMATI KUU CCM CHAENDELEA MJINI DODOMA
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
JK aongoza kikao cha kamati kuu mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwenye ukumbi wa NEC,CCM Makao Makuu Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma taarifa fupi ya ufunguzi wa kikao kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Bi.Zakia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib wakibadilishana mawazo muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...
10 years ago
Dewji Blog19 Aug
JK awasili mjini Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Rais Jakaya Kikwete akialimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM August 19, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Adam Kimbisa. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu).
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma August 19, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein, Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,...
10 years ago
VijimamboKIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwenye ukumbi wa NEC,CCM Makao Makuu Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma taarifa fupi ya ufunguzi wa kikao kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Bi.Zakia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib wakibadilishana mawazo muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya...
10 years ago
GPLTASWIRA ZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA KILIVYOENDESHWA JANA
10 years ago
MichuziRais Kikwete aendesha kikao cha Kamati kuu mjini Dodoma leo
5 years ago
CCM BlogMWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA, IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO, HAMASA ZATANDA UKUMBINI