Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mhe bernad membe alivyoongea baada ya kuhojiwa na kamati ya maadili ya ccm

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MH. MEMBE PIA AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM mjini Dodoma leo Februari 16,2014. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili...

 

11 years ago

GPL

MEMBE NAYE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM MJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na… ...

 

11 years ago

GPL

SIKU CHACHE BAADA YA KUHOJIWA: MEMBE ANENA MAZITO!

Mh. Benard Kamilius Membe. WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Benard Kamilius Membe amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya  jambo la msingi kuwaita na kuwaonya makada wake (akiwemo yeye) wanaotuhumiwa kukivuruga chama kwa kuendesha kampeni za kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwakani kwa mujibu wa katiba ya nchi. Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamati ya maadili CCM itaweza?

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ameweka wazi kuwa chama kimeunda kamati za usalama na maadili kufanya kazi ya kuwabana wanaokiuka maadili. Kikwete alitoa kauli hiyo kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAIPA SIKU SABA KAMATI NDOGO YA UDHIBITI NA NIDHAMU KUKAMILISHA NA KUWASILISHA KWENYE VIKAO HUSIKA TAARIFA ZA KINA KINANA, MAKAMBA NA MEMBE

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Itikadi na Uenezi  Humphrey Polepole,  akieleza yaliyojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi, kilichofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Polepole alitoa maelezo hayo wakati wa Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na Waandishi wa habari.







Na Bashir Nkoromo, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

11 years ago

Mwananchi

Vigogo sita CCM waitwa Kamati ya Maadili

>Vigogo sita ambao wanatajwa kuwa wanajiwinda kwa ajili ya kuwania urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu ujao, wameitwa mbele ya Kamati ya Ndogo ya Maadili ya chama hicho, kwa ajili ya kuhojiwa kwa tuhuma za kukiuka maadili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani