Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo sita CCM waitwa Kamati ya Maadili

>Vigogo sita ambao wanatajwa kuwa wanajiwinda kwa ajili ya kuwania urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu ujao, wameitwa mbele ya Kamati ya Ndogo ya Maadili ya chama hicho, kwa ajili ya kuhojiwa kwa tuhuma za kukiuka maadili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kamati ya maadili CCM itaweza?

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ameweka wazi kuwa chama kimeunda kamati za usalama na maadili kufanya kazi ya kuwabana wanaokiuka maadili. Kikwete alitoa kauli hiyo kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati Kuu CCM kujadili vigogo Escrow

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape NnauyeIMEELEZWA kuwa, maamuzi yote ya kikao cha Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM kilichokutana juzi, kujadili masuala ya kimaadili kwa wanachama wake wanaotajwa kuhusika katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yatafikishwa katika Kamati Kuu ya Chama kwa hatua zaidi.

 

11 years ago

GPL

WATATU WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM‏

 Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye akiwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma tayari kwa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowasa…

 

11 years ago

Michuzi

MH. MEMBE PIA AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM mjini Dodoma leo Februari 16,2014. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati Kuu CCM ilikesha Dodoma kuwasulubu vigogo

>Kamati Kuu ya CCM ilikesha katika kikao kilichofanyika usiku wa kuamkia juzi, ambacho kiliwapa adhabu ya kuwa chini ya uangalizi wa miezi 12, vigogo sita, baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya kuanza mapema kampeni za kuusaka urais wa 2015 kabla ya muda uliowekwa na chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Maadili CCM yatakiwa kuwashughulikia waliotangaza nia

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeshauri Kamati ya Maadili ya CCM kuwaonyesha mlango wa kutokea wote walioanza kampeni za kugombea urais, ubunge na nyingine kinyume cha maadili ya chama.

 

11 years ago

GPL

MEMBE NAYE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM MJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na… ...

 

11 years ago

GPL

MAKAMBA, WASSIRA NAO WAHOJIWA NA KAMATI NDOGO YA MAADILI CCM

 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mjini Dodoma mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili CCM jana.
January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani