KAMATI KUU YA CCM YAIPA SIKU SABA KAMATI NDOGO YA UDHIBITI NA NIDHAMU KUKAMILISHA NA KUWASILISHA KWENYE VIKAO HUSIKA TAARIFA ZA KINA KINANA, MAKAMBA NA MEMBE
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole, akieleza yaliyojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi, kilichofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Polepole alitoa maelezo hayo wakati wa Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na Waandishi wa habari.
Na Bashir Nkoromo, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-Rt-DNzsVA00/Uv4k8Cewg_I/AAAAAAAAL54/Wmu0HQTMIDg/s1600/g3.jpg)
MAKAMBA, WASSIRA NAO WAHOJIWA NA KAMATI NDOGO YA MAADILI CCM
9 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-1KdqEjugW3o/VdGxrYwVInI/AAAAAAAAkRA/7NxDI9JrDtY/s640/2.jpg)
JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MAKAO MAKUU YA CCM OFISI NDOGO LUMUMBA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-el4kpUinAZ0/XlkRfKtsE3I/AAAAAAALf1E/6gUEb4eyLmY6RQ9DC7u8XKdxgcomCS8vwCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-el4kpUinAZ0/XlkRfKtsE3I/AAAAAAALf1E/6gUEb4eyLmY6RQ9DC7u8XKdxgcomCS8vwCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-gat0M-ZcteU/XlkRftkbMRI/AAAAAAALf1I/gpmSwKe5EjoqknzE3_Vaf-54KozZL6UcQCLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3HAfjXo5Hic/U_WFF0w84vI/AAAAAAAAQI4/d19-3IMbvII/s72-c/1.jpg)
KAMATI KUU YA CCM YAHIMIZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUHUDHURIA VIKAO NA KUSHIRIKI KATIKA MIJADALA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3HAfjXo5Hic/U_WFF0w84vI/AAAAAAAAQI4/d19-3IMbvII/s1600/1.jpg)
Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi alisema,Kamati Kuu pamoja na mambo mengine, ilipokea taarifa na kufanya tathimini juu ya maendeleo ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba nchini, ndani na nje ya Bunge.
Kamati Kuu vilele imepokea na kujadili taarifa kuhusu mazungumzo na mashauriano kati ya vyama vya CUF, CHADEMA,...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Membe apongeza Kamati Kuu CCM kwa kuwatia ‘kifungoni’
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/f-MjeoJgNE4/default.jpg)
11 years ago
Habarileo10 Apr
Kamati sita zashindwa kuwasilisha taarifa
KAMATI sita kati ya kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimeshindwa kuwasilisha taarifa zao kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu tayari kwa ajili ya kuwasilishwa bungeni leo.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Nirz2PNSGPY/VV9FSVal7bI/AAAAAAAHZPE/vl81qOuEs30/s72-c/Chama_Cha_Mapinduzi_Logo.png)
TAARIFA RASMI YA CCM KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-Nirz2PNSGPY/VV9FSVal7bI/AAAAAAAHZPE/vl81qOuEs30/s640/Chama_Cha_Mapinduzi_Logo.png)
Wanachama hao sita ni;-i. January Makambaii. Willium Ngelejaiii. Steven Wasiraiv. Bernard Membev. Edward Lowassavi. Fredrick Sumaye
Kamati Kuu imepokea na kukubali pendekezo la Kamati ya Usalama na Maadili ya kumalizaka kwa kipindi cha adhabu kwa wanachama hawa. Kwahiyo...