KAMATI KUU YA CCM YAHIMIZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUHUDHURIA VIKAO NA KUSHIRIKI KATIKA MIJADALA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3HAfjXo5Hic/U_WFF0w84vI/AAAAAAAAQI4/d19-3IMbvII/s72-c/1.jpg)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM Dodoma.
Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi alisema,Kamati Kuu pamoja na mambo mengine, ilipokea taarifa na kufanya tathimini juu ya maendeleo ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba nchini, ndani na nje ya Bunge.
Kamati Kuu vilele imepokea na kujadili taarifa kuhusu mazungumzo na mashauriano kati ya vyama vya CUF, CHADEMA,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Habarileo20 Aug
Kamati Kuu CCM yajadili Bunge Maalum
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete jana alifungua kikao maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, ambapo pamoja na mambo mengine kitajadili mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-razM8J3yrdM/U9JNS20peuI/AAAAAAAF6NI/KKIkxuOgpJ4/s72-c/1.jpg)
KAMATI YA MASHAURIANO YATOA WITO KWA WAJUMBE WALIOSUSIA MIKUTANO YA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUREJEA BUNGENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-razM8J3yrdM/U9JNS20peuI/AAAAAAAF6NI/KKIkxuOgpJ4/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4X0mft_J_ag/U9JNYj0qzhI/AAAAAAAF6NQ/LMsNuLoUXtg/s1600/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fP425F9bo_c/VA7UyKZf6mI/AAAAAAAGiNg/oAv0wVoku_c/s72-c/Ukumbi-wa-Bunge-la-Katiba.jpg)
Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-fP425F9bo_c/VA7UyKZf6mI/AAAAAAAGiNg/oAv0wVoku_c/s1600/Ukumbi-wa-Bunge-la-Katiba.jpg)
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...
10 years ago
Vijimambo18 Oct
HALMASHAURI KUU YA CCM YALIPONGEZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) imemaliza kikao chake cha siku mbili chini ya Mwenyekiti wa CCM Dkt. JAKAYA KIKWETE ambapo pamoja na mambo mengine imepokea taarifa ya mchakato wa Katiba na kulipongeza bunge hilo.
Aidha imeunga mkono kwa asilimia mia moja Katiba hiyo pendekezi na kuwataka wananchi waisome,kuitafakari na wakati ukifika wajitokeze kwa wingi na kupigia kura ya ndio.Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ndugu NAPE...