KAMATI YA MASHAURIANO YATOA WITO KWA WAJUMBE WALIOSUSIA MIKUTANO YA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUREJEA BUNGENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-razM8J3yrdM/U9JNS20peuI/AAAAAAAF6NI/KKIkxuOgpJ4/s72-c/1.jpg)
Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba,Yahya Khamis Hamad akizungumza na Wanahabari mapema leo mchana katika ofisi ndogo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar,kuhusiana na maoni na ushauri wa kikao cha kamati ya Mashauriano ya Bunge maalum la katiba kilichofanyika jana julai,24,2004 katika Ofisi ndogo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar.Mh. Yahya alisoma taarifa hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta.
Baadhi ya Wanahabari kutoka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWajumbe wa Bunge la Katiba waaswa kurejea Bungeni
Kauli hiyo imetolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.
Jaji Werema amesema kuwa wajumbe walio nje ya Bunge Maalum hawana budi kurejea bungeni na kuacha kumshinikiza Rais kulivunja bunge hilo kwani hana mamlaka ya kulivunja kulingana na sheria...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Gb_hmItxCFM/U_yjdqFoofI/AAAAAAAGCiU/p2LUak-hf6c/s72-c/unnamed%2B(23).jpg)
Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...
11 years ago
MichuziKUTOKA BUNGENI: WAZIRI MKUU AKIWA NA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3HAfjXo5Hic/U_WFF0w84vI/AAAAAAAAQI4/d19-3IMbvII/s72-c/1.jpg)
KAMATI KUU YA CCM YAHIMIZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUHUDHURIA VIKAO NA KUSHIRIKI KATIKA MIJADALA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3HAfjXo5Hic/U_WFF0w84vI/AAAAAAAAQI4/d19-3IMbvII/s1600/1.jpg)
Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi alisema,Kamati Kuu pamoja na mambo mengine, ilipokea taarifa na kufanya tathimini juu ya maendeleo ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba nchini, ndani na nje ya Bunge.
Kamati Kuu vilele imepokea na kujadili taarifa kuhusu mazungumzo na mashauriano kati ya vyama vya CUF, CHADEMA,...