Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA RASMI YA CCM KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU LEO

Kamati Kuu imepokea na kutafakari taarifa ya Kamati ya Usalama na Maadili ambayo ilipitia adhabu waliyopewa wanachama sita waliokiuka kanuni za Maadili na kupewa Onyo Kali, adhabu iliyodumu kwa kipindi kisichopungua miezi 12.
Wanachama hao sita ni;-i. January Makambaii. Willium Ngelejaiii. Steven Wasiraiv. Bernard Membev. Edward Lowassavi. Fredrick Sumaye
Kamati Kuu imepokea na kukubali pendekezo la Kamati ya Usalama na Maadili ya kumalizaka kwa kipindi cha adhabu kwa wanachama hawa. Kwahiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein    akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

5 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI NA DK. SHEIN WATETA KABLA YA KUANZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, IKULU YA CHAMEINO MJINI DODOMA, LEO


Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kufanyika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, leo.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU

 

10 years ago

CloudsFM

RIPOTI KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUJULIKANA LEO

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu Adam Kimbisa,wakati akitoka nje mara baada ya kumaliza kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa usiku huu,kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja,Zanzibar,kikao hicho kilianza mnamo majira ya saa sita mchana na kumalizika usiku mnamo saa mbili na ushehe hivi huku mambo mbalimbali yakiwa yamejadiliwa...

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. PICHA NA ISSA MICHUZI - IKULU.

 

9 years ago

Michuzi

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KWENYE OFISI ZA LUMUMBA LEO

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu maalum kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama ,Ofisi Ndogo Lumumba,kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakatiwa na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakati wa kikao hicho. Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani