Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU CHADEMA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHADEMA KESHO

Kutokana na maswali kutoka kwa wanahabari wa vyumba mbalimbali vya habari juu ya agenda za kikao cha Kamati Kuu kesho, Chama kimetoa kauli ifuatayo; Ni kweli kutakuwa na mkutano maalum wa Kamati Kuu ya chama kesho tarehe 3 Januari 2014 Jijini Dar Es Salaam. Ajenda kuu katika mkutano huo ni tatu; Mosi: Kupokea taarifa kuhusu mchakato na maudhui ya mabadiliko ya katiba
Kamati Kuu itapokea taarifa juu ya kupitishwa kwa marekebisho...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA RASMI YA CCM KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU LEO

Kamati Kuu imepokea na kutafakari taarifa ya Kamati ya Usalama na Maadili ambayo ilipitia adhabu waliyopewa wanachama sita waliokiuka kanuni za Maadili na kupewa Onyo Kali, adhabu iliyodumu kwa kipindi kisichopungua miezi 12.
Wanachama hao sita ni;-i. January Makambaii. Willium Ngelejaiii. Steven Wasiraiv. Bernard Membev. Edward Lowassavi. Fredrick Sumaye
Kamati Kuu imepokea na kukubali pendekezo la Kamati ya Usalama na Maadili ya kumalizaka kwa kipindi cha adhabu kwa wanachama hawa. Kwahiyo...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA yakutana na waandishi wa habari kuzungumzia maazimio ya kikao maalum cha kamati kuu ya chama hicho

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya kikao maalum cha kamati kuu ya chama hicho iliyokutana jana wakati wa kujadili taarifa ya awali ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa na maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA - Bara, John Mnyika.Naibu Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

KURUGENZI YA MAMBO YA NJE

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


SERIKALI YA TANZANIA ICHUKUE HATUA ZA HARAKAKUNUSURU WATANZANIA WAISHIO AFRIKA KUSINIDHIDI YA GHASIA NCHINI HUMO
Kumekuwepo na hali ya raia wa Afrika Kusini kushambulia , kujeruhi na kuua raia wa kigeni wa Kiafrika wanaoishi nchini Afrika Kusini. Hali hii inadaiwa kuchochewa na ukosefu mkubwa wa ajira kwa wananchi wa Afrika Kusini wanaodai ajira hizo kuchukuliwa na Waafrika wa mataifa mengine na hivyo wao wenyeji kubakia kwenye dimbwi kuu...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UHAMISHO WA BALOZI KALAGHE


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Coat of ArmsSimu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600               
               20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM KUHUSU KUFUNGA KAMPENI

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo: 
1.    Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU MIKUTANO YA HADHARA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU MIKUTANO YA HADHARA Tumeona kupitia vyombo vya habari na njia mbalimbali za upashanaji taarifa kwamba Waziri Mkuu Majaliwa Kassim amenukuliwa akitoa kauli inayoonesha Serikali ya CCM inataka kuzuia shughuli za kisiasa hususan mikutano ya hadhara.Kupitia kauli hiyo, Waziri Mkuu amenukuliwa zaidi akisema kuwa Uchaguzi umekwisha hivyo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani