Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yakutana na waandishi wa habari kuzungumzia maazimio ya kikao maalum cha kamati kuu ya chama hicho

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya kikao maalum cha kamati kuu ya chama hicho iliyokutana jana wakati wa kujadili taarifa ya awali ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa na maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA - Bara, John Mnyika.Naibu Katibu Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAAZIMIO KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KILICHOFANYIKA JANA MJINI UNGUJA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akizungungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.Waandishi wa Habari wakimsikiliza Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipokuwa anazungumzia maazimio ya kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichofanyika Zanzibar tarehe 13 Januari 2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Jana tarehe 13/01/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake wa Taifa Dr. Jakaya Mrisho...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI KUU CHADEMA YAKUTANA NA WENYE NIA KUGOMBEA UBUNGE 2015, PROF JAY NDANI YA KIKAO


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Freeman Mbowe akiingia katika ukumbi wa mkutano wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kilipokutana na Wanachama waliotia nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Salum Mwalimu.Salum Mwalim akifafanua jambo wakati wa Kikao hicho.Viongozi Wakuu wa Chadema wakiomba dua kabla ya kuanza Kikao.Mwanamuziki wa kizazi kimpya Prof. J akiwa ni miongoni mwa watia nia.Naibu Katibu Mkuu wa Chadema...

 

10 years ago

GPL

NAPE AYATAJA MAAZIMIO KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KILICHOFANYIKA JANA MJINI UNGUJA

Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Wanahabari mapema leo akifafanua kuhusiana na ripoti na maadhimio ya kikao cha kamati kuu cha CCM kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Unguja kisiwani Zanzibar.PICHA NA MICHUZI JR-ZANZIBAR.                                                            ...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa Hamasa ya maendeleo pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020 kabla ya kuanza kwa...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KATIKA VIKAO VYAKE VYA MEI 23-24

Kiongozi wa Chama (ACT), Zitto Zuberi Kabwe. KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, ilikuwa na kikao chake cha kawaida cha siku mbili kilichokaa tarehe, 23 na 24 mwezi huu na kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Anna Mghwira, pia kilihudhuriwa na kiongozi wa Chama Zitto Zuberi Kabwe. Agenda za vikao hivyo vya siku mbili zilikuwa ni Uteuzi wa nafasi mbali mbali za kiutendaji ndani ya chama Operesheni majimaji Ratiba ya Uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM

Kikao Maalum cha Kamati Kuu kitachuja majina na kubaki matano (5) Mji wa Dodoma wafurika Usalama waongezwaMwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete(wa pili kushoto) akiongoza kikao cha Kamati Kuu Maalum cha CCM mjini Dodoma, Kikao hicho kitachuja majina ya wagombea na kupata majina matano(5) .Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa taarifa fupi ya wajumbe waliohudhuria kikao cha Kamati Kuu Maalum ambapo wajumbe 28 walihudhuria...

 

10 years ago

Michuzi

JK aongoza kikao Maalum cha Kamati kuu dodoma


 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao maalum cha kamati kuu ya CCM katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo jioni.Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kitachagua wagombea watano ambao majina yao yatapelekwa katika Halmashauri kuu katika mchakato wa kumpata mgombea atakaye peperusha bendera ya CCM kuwania nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambaye pia ni Rais wa SMZ Dkt.Ali Mohamed...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani