Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI KUU CHADEMA YAKUTANA NA WENYE NIA KUGOMBEA UBUNGE 2015, PROF JAY NDANI YA KIKAO


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Freeman Mbowe akiingia katika ukumbi wa mkutano wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kilipokutana na Wanachama waliotia nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Salum Mwalimu.Salum Mwalim akifafanua jambo wakati wa Kikao hicho.Viongozi Wakuu wa Chadema wakiomba dua kabla ya kuanza Kikao.Mwanamuziki wa kizazi kimpya Prof. J akiwa ni miongoni mwa watia nia.Naibu Katibu Mkuu wa Chadema...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CHADEMA yakutana na waandishi wa habari kuzungumzia maazimio ya kikao maalum cha kamati kuu ya chama hicho

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya kikao maalum cha kamati kuu ya chama hicho iliyokutana jana wakati wa kujadili taarifa ya awali ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa na maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA - Bara, John Mnyika.Naibu Katibu Mkuu...

 

11 years ago

CloudsFM

PROFESA JAY AFUNGUKA KUGOMBEA UBUNGE 2015

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Profesa Jay wa Mitulinga, kama unakumbuka vizuri tarehe 21 mwezi wa tano mwaka jana 2013 alikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa chama siasa cha CHADEMA na aliyemkabidhi kadi hiyo ni mbunge ambaye pia ni msanii wa Hip Hop Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.Baada ya hapo hisia za Watanzania zilisafiri mpaka mjini Songea na kutoa jibu kwamba mwaka 2015 msanii huyo atagombea ubunge katika moja kati ya majimbo ya mkoani Ruvuma. Clouds fm imepiga stori na Profesa Jay huyu...

 

9 years ago

Michuzi

JK alipotua Dodoma kuongoza kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili majina ya walioomba kugombea Uspika

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu itakayojadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wana CCM alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Frederick Fussi atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Songea Mjini kwa tiketi ya Chadema

unnamed

Mgombea ubunge jimbo la Songea mjini kwa tiketi ya Chama cha Maendeleo (CHADEMA), Frederick Fussi akisisitiza jambo katika mkutano wake na waandishi habari.

OFISA  Mshauri  wa masuala ya Uchumi, Biashara na Uongozi Frederick Fussi ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Songea Mjini kupitia Chama hicho huku akielezea vipao mbele ambavyo atavitekeleza endapo akipewa ridha kutoka kwa wananchi.

Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema waenzi Nyerere kwa kikao Kamati Kuu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemuenzi Mwalimu Julius Nyerere kwa kufanya kikao maalumu cha Kamati Kuu ya chama hicho na kuomba wajumbe wake kutambua umuhimu wa siku hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani