Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA JAY AFUNGUKA KUGOMBEA UBUNGE 2015

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Profesa Jay wa Mitulinga, kama unakumbuka vizuri tarehe 21 mwezi wa tano mwaka jana 2013 alikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa chama siasa cha CHADEMA na aliyemkabidhi kadi hiyo ni mbunge ambaye pia ni msanii wa Hip Hop Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.Baada ya hapo hisia za Watanzania zilisafiri mpaka mjini Songea na kutoa jibu kwamba mwaka 2015 msanii huyo atagombea ubunge katika moja kati ya majimbo ya mkoani Ruvuma. Clouds fm imepiga stori na Profesa Jay huyu...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KAMATI KUU CHADEMA YAKUTANA NA WENYE NIA KUGOMBEA UBUNGE 2015, PROF JAY NDANI YA KIKAO


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Freeman Mbowe akiingia katika ukumbi wa mkutano wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kilipokutana na Wanachama waliotia nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Salum Mwalimu.Salum Mwalim akifafanua jambo wakati wa Kikao hicho.Viongozi Wakuu wa Chadema wakiomba dua kabla ya kuanza Kikao.Mwanamuziki wa kizazi kimpya Prof. J akiwa ni miongoni mwa watia nia.Naibu Katibu Mkuu wa Chadema...

 

9 years ago

BBCSwahili

Profesa Jay ashinda kiti cha ubunge TZ

Msanii wa Bongo Joseph Haule maarufu kwa jina 'Profesa Jay' ndiye msanii wa hivi karibuni kuwahi kushinda kiti cha ubunge nchini Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

Hatimaye Profesa J atangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Mikumi

Profesa J ametangaza rasmi kuwa atagombea nafasi ya ubunge kwenye jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.Akiongea na 255 ya Clouds, rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule, amesema:Unajua nimeamua kugombea jimbo la Mikumi kwa kuwa hapa ni nyumbani. Wazazi wangu waliishi hapa kwa muda mrefu maana babu yangu alihamia hapa kama miaka 58 iliyopita. Baba pia yupo hapa japo wao ni watu wenye asili ya mkoa wa Ruvuma. Kwahiyo nimeona nimekuwa nikiimba siasa sana naona huu ni muda wa kufanya...

 

11 years ago

Habarileo

Mrema kugombea ubunge 2015

Augustine Lyatonga MremaMBUNGE wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP), amesema atagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015 katika jimbo hilo na kutoa hadhari kwa wanaolinyemelea.

 

10 years ago

Bongo5

Steve Nyerere kugombea ubunge jimbo la Kinondoni mwaka 2015

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere ametangaza nia yake ya kugombea ubunge mwaka 2015 katika jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kupitia tiketi ya CCM. Mwenekiti wa bongomovie Steve Nyerere Akizungumza na Bongo5, Steve Nyerere amesema yupo kamili na amejipanga kufanya hivyo ifikapo mwakani. “Ukiuna chereko cherEko ujue mambo yameiva, yeah nitagombea […]

 

10 years ago

Vijimambo

DAUDI MRINDOKO KASHAWISHIKA NA KAKUBALI OMBI LA KUGOMBEA UBUNGE 2015

Yafuatayo ndio maelezo yake haya:

"Kwa nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu anawezesha yote na kutujalia uhai

Waheshimiwa Mabibi na mabwana,vijana na wazee,watoto na wakubwa ,Baba zangu na mama zangu na wanadau wote wanaoishi Moshi na wenyeji wa Moshi walio ndani na nje ya Moshi.

Mimi mtoto wenu,mdogo wenu na Kijana wenu DAUDI BABU MRINDOKO

Nina heshima kubwa na unyeyekevu kwenu ,Pia nawashukuruni sana kwa kunishawishi niweze kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo
la Moshi Mjini...

 

10 years ago

Mwananchi

Issa Mkalinga: Nina ndoto ya kugombea Ubunge Nachingwea 2015

Mwaka 2015 utafanyika Uchaguzi Mkuu unaotajwa kuwa na upinzani wa hali ya juu kutokana na vyama mbalimbali vya siasa kuonyesha kujipanga kuleta upinzani mkubwa kwa chama tawala.

 

10 years ago

Bongo5

Tunda Man adai kuwa na mipango ya kugombea ubunge, japo si 2015

Inaonekana wasanii wengi nchini wanapenda kuingia mjengoni. Baada ya Shilole kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Igunda, Tundaman amesema ana nia ya kuja kugombea ubunge wa Kinondoni. Akizungumza na Bongo5 Tunda Man amesema ni kweli yupo kwenye mipango hiyo ila sio mapema kutokana kwakuwa bado anahitaji kujiendeleza kielimu zaidi. “Iddi ni kama baba yangu siwezi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani