Steve Nyerere kugombea ubunge jimbo la Kinondoni mwaka 2015
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere ametangaza nia yake ya kugombea ubunge mwaka 2015 katika jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kupitia tiketi ya CCM. Mwenekiti wa bongomovie Steve Nyerere Akizungumza na Bongo5, Steve Nyerere amesema yupo kamili na amejipanga kufanya hivyo ifikapo mwakani. “Ukiuna chereko cherEko ujue mambo yameiva, yeah nitagombea […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi18 Jul
Steven Nyerere achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kinondoni na kurudisha leo
10 years ago
Bongo Movies27 Jun
Steve Nyerere: Sijakurupuka Kugombea Ubunge
Staa wa Bongo Movies na aliyekuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Unit, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ ambaye wiki iliyopita alitangaza niua yake ya kugombe ubunge mwaka huu wa uchaguzi amedai kua hajakurupuka kuutaka ubunge kupitia jimbo la Kinondoni na kuwa ataendeleza sanaa hata akiwa mbunge.
Akizungumza na millardayo.com alisema..’Kwanza ninataka kuwahakikishia watanzania sijakurupuka, nimekuwa mwanachama wa chama cha Mapinduzi umoja wa vijana almost miaka 25 na sasa hivi nina miaka 29...
10 years ago
Bongo Movies20 Jul
Steve Nyerere Atikisa Ubunge Kinondoni
MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amekuwa kivutio kikubwa kati ya wagombea waliotangaza nia kugombea Jimbo la Kinondoni, msanii mahiri katika uchekeshaji na uigizaji wa sauti mbalimbali za watu maarufu Ulimwenguni ametangaza nia kugombea Jimbo hilo.
Steve akiwa na baadhi ya wasanii wenzake kutoka Bongo Movie waliingia ofisi za CCM Mkwajuni Wilaya ya Kinondoni na kupokelewa na kundi la wanahabari tofauti na wagombea wengine walioingia katika...
10 years ago
Bongo Movies29 Jun
Steve Nyerere Atikisa Jimbo la Kinondoni
Staa wa Bongo Movies, Steven Mangere ‘Nyerere’ amewaomba wanawake wasihadaike na kanga na vitenge wakipewa na baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongoziili wawachague.
Steve aliitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) nakuwahimiza vijana wa Kinondoni wajitokeze kujiandikisha kwenye daftari la kudumu ili waweze kuchagua viongozi watakaoweza kuifikisha Kinondoni sehemu...
10 years ago
Bongo Movies06 May
Steve Nyerere Kugombea Ubunge Awatetee Wasanii
Staa wa Bongo Movies, Steven Mangere ‘Steve Nyerere’ anasema kuwa anatarajia kuingia katika kinyang’anyiro cha Ubunge huku lengo kuu kuwa sauti ya wasanii ambao anaamini wanakosa mtu wa kuwakilisha matatizo yao katika Serikali na anaona ni wakati muafaka yeye kuingia Bungeni.
Naamini kabisa kuwa karibu na Serikali ndio mwanzo mwa kutatuliwa kwa matatizo yetu katika tasnia ya filamu na muziki pia, nitatangaza nia kuchukua moja kati majimbo makubwa kabisa hapa Dar, na kuingia Bungeni kwa kazi...
10 years ago
GPLSTEVE NYERERE ATANGAZA NIA YA KULIWANIA JIMBO LA KINONDONI
10 years ago
GPLSTEVE NYERERE, WAKILI MAKENE WACHUKUA FOMU UBUNGE KINONDONI DAR
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziQS Muhonda arudisha Fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni
QS amesema kuwa ameamua kuchukua fomu na kugombea nafasi hiyo ili kuleta maendeleo ya jimbo hilo na pia anauwezo na ufanisi mkubwa wa kuleta maendeleo katika jimbo hilo la Kinondoni, Lakini pia una ushawishi mkubwa kwa vijana ambao ni taifa la leo kuwafanya kuwa nguvu kazi ya Taifa hususan vijana wengi wa kinondoni ambao hawana ajira...