SIKU CHACHE BAADA YA KUHOJIWA: MEMBE ANENA MAZITO!
![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JlR-oQs*9laPx3PkGQZ-*wW*IKuAo4wjAWmrOMStoPrjZn*2J1Uy0zRdjqlOPl5KrsOr1-jBo4vLNdh4Z6Nxuqw/vlcsnap256469001.jpg?width=600)
Mh. Benard Kamilius Membe. WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Benard Kamilius Membe amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya jambo la msingi kuwaita na kuwaonya makada wake (akiwemo yeye) wanaotuhumiwa kukivuruga chama kwa kuendesha kampeni za kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwakani kwa mujibu wa katiba ya nchi. Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi18 Feb
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl7BOeGlGv8irXPhnYBAniE-sIn7Sr576Ho8ZaWDVPzUD37YJDz0T2CMWAkI7RxZFGv7700-mDfYDcCJhbp3if07LGtyv07j/FRONTIJUMAA.jpg)
JACK PATRICK ANENA MAZITO
10 years ago
GPLAUNT ANENA MAZITO BIFU LA KAJALA, WEMA
9 years ago
VijimamboLowassa ashangiliwa kama Rais, Mbowe anena mazito.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefichua mazito baada ya kueleza hadharani kuwa kamwe chama chake na washirika wao wanaounda Umoja wa Katiba ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNaa0d407G4PwKfjDz5R8Tqsq-gbyTGMK5Ev8vtobDYOdRjb*YJEYDL8ppD4CX1YbFMpYcsYwxfakdf7n3oBjfuO/bibiharusi.jpg?width=650)
BIBI HARUSI ANYONGWA SIKU CHACHE KABLA YA NDOA
10 years ago
Dewji Blog04 Aug
Zahara anena baada ya kushindwa kupata kura za kutosha Tabora
Baada ya kura kutotosha kumfanya apite katika kura za maoni kugombea Ubunge kwa viti vya Vijana mkoani Tabora, Zahara Muhidin Issa Michuzi (pichani) amepokea matokeo kwa moyo mkunjufu na kumpongeza mshindi Irene Uwoya na kumuahidi ushirikiano katika mambo yote mema ya kuendeleza vijana mkoani humo.
Zahara ambaye sasa ataelekeza nguvu zake katika kusaka digrii ya pili ya uchumi, amesema kwamba anawashukuru wajumbe wa mkutano wa uchaguzi, baba yake, mama walezi, kaka Mkala Fundikira wa...
11 years ago
Mwananchi19 May
Meneja Ewura ajiua hotelini baada ya kuhojiwa na Bunge
10 years ago
MichuziBINTI YETU ANENA BAADA YA KUSHINDWA KUPATA KURA ZA KUTOSHA TABORA
10 years ago
GPLZUHURA MICHUZI ANENA BAADA YA KUSHINDWA KUPATA KURA ZA KUTOSHA TABORA