Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meneja Ewura ajiua hotelini baada ya kuhojiwa na Bunge

>Meneja Biashara wa Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) amekutwa amekufa hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Meneja EWURA alijinyonga-Polisi


NA MWANDISHI WETU
JESHI la Polisi limesema hakuna anayetiliwa shaka kuhusiana na kifo cha aliyekuwa Meneja Udhibiti wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Julius Gashaza kwani alijinyonga.
Gashaza alikutwa amekufa kwa kile kilichodaiwa kujinyonga kwa kutumia tai katika nyumba ya kulala wageni ya Mwanga, eneo la Yombo Vituka, mjini Dar es Salaam.
Meneja huyo alikuwa amefariki dunia  siku moja baada ya kurejea kutoka Dodoma kikazi Mei 18, mwaka huu.
Kamanda wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Simanzi zatawala mazishi ya meneja wa Ewura

Simanzi, majonzi na kila aina ya huzuni vilitawala makaburini pamoja na minong’ono ya hapa na pale kuhusu mazingira ya kifo cha aliyekuwa meneja wa biashara ya petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza.

 

11 years ago

GPL

MASWALI 5 KIFO CHA MENEJA EWURA

Na Haruni Sanchawa
JAMBO limezua jambo! Maswali matano ya msingi yameibuka kufuatia kifo cha aliyekuwa Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza kilichotokea hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti, Amani limeyanasa. Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati...

 

11 years ago

Mwananchi

Kifo cha meneja wa Ewura utata mtupu

>Wakati kukiwa na utata wa kifo cha Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), imebainika kuwa tofauti ya takwimu kati ya mamlaka hiyo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), iliyotolewa kwenye Kamati ya Bunge ya Bajeti ni Sh25 bilioni.

 

11 years ago

GPL

EWURA YAMLILIA MENEJA WAO JULIUS GASHAZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Julius N. Gashanza.
Mke wa marehemu Gashanza, Mama Baraka (mwenye miwani) akiwa na simanzi nzito.…

 

11 years ago

Mwananchi

Familia yamwachia Mungu kifo cha Meneja Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza anazikwa leo katika Kijiji cha Mulukulazo, Ngara mkoani Kagera huku familia yake ikisema haina cha kusema kuhusu kifo hicho, bali inamwachia Mungu.

 

11 years ago

GPL

VIDEO: EWURA YAMLILIA MENEJA WAO JULIUS GASHAZA

MWILI wa Meneja Biashara wa Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza umeagwa siku ya jana nyumbani kwake Yombo, Vituka jijini Dar es Salaam. Marehemu alikutwa amekufa hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam akitoka Dodoma ambako alikuwa akihojiwa na Kamati ya Bunge la Bajeti akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi. ...

 

11 years ago

GPL

SIKU CHACHE BAADA YA KUHOJIWA: MEMBE ANENA MAZITO!

Mh. Benard Kamilius Membe. WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Benard Kamilius Membe amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya  jambo la msingi kuwaita na kuwaonya makada wake (akiwemo yeye) wanaotuhumiwa kukivuruga chama kwa kuendesha kampeni za kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwakani kwa mujibu wa katiba ya nchi. Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani